KATIKA Bundesliga Borussia Dortmund jana imelazimishwa sare ya 2-2 na Hoffenheim, shukrani kwa Erling Haaland aliyeisawazishia dakika ya 81 Uwanja wa Signal-Iduna-Park, hilo likiwa bao la 16 la msimu kwa Mnorway huyo aliyefunga wakati mchezaji mmoja wa wapinzani akiwa ameanguka chini baada ya kuumia.
Dortmund imeshinda mechi moja tu kati ya sita zilizopita za ligi na inajitoa tena kwenye Nne Bora katika mbio za kuwania tiketi ya Champions League na pengo linatarajiwa kuongezeka leo wakati Eintracht Frankfurt, Wolfsburg na Borussia Monchengladbach zikishuka dimbani.
Kocha wa Dortmund, Edin Terzic tayari amekalia kuti kavu baada ya kufungwa mechi tatu kati ya nne za Bundesliga na amezidi kujiweka pagumu kufuatia kumuweka benchi Nahodha, Marco Reus PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3jOlXAB
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang BORRUSIA DORTMUND YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA HOFFENHEIM. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/02/borrusia-dortmund-yalazimishwa-sare-ya.html. Terimakasih atas perhatiannya.