KOCHA wa Barcelona, Ronald Koeman ameagiza uchunguzi ufanyike juu ya kuvuja kwa mkataba kwa Lionel Messi na aliyefanya hivyo kama anatika ndani ya uongozi wa klabu aondolewe.
Gazeti la El Mundo jana limeripoti kwamba Lionel Messi amelipwa zaidi ya dola za Kimarekani Milioni 673, katika mkataba wake wa sasa wa miaka minne Barcelona aliosaini mwaka 2017 ambayo ni sawa na dola Milioni 167 kwa mwaka – huo ukiwa mkataba mnono zaidi kihistoria kwa wanamichezo.
Messi amekuwa mchezaji wa Barcelona kwa karibu miongo miwili sasa, lakini aliomba kuondoka mwishoni mwa msimu uliopita akisema hafurahishwi na mwelekeo wa klabu kwa sasa, ingawa ombi lake lilikataliwa – atakuwa huru kuondoka mwishoni mwa msimu huu.
Messi jana amefunga bao la kwanza dakika ya 20, Barcelona ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Athletic Bilbao Uwanja wa Camp Nou, bao la pili likifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 74, wakati la Bilbao lilifungwa na Jordi Alba aliyejifunga dakika ya 49.
Barcelona imefikisha pointi 40 sawa na Real Madrid na wanapanda nafasi ya pili kwa wastani mzuri wa mabao baada ya timu zote kucheza mechi 20 na wote wapo nyuma na Atletico Madrid yenye pointi 50 za mechi 19 tu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3tg4Yvq
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KOEMAN ATAKA ALIYEVUJISHA MKATABA WA MESSI AFUKUZWE. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/02/koeman-ataka-aliyevujisha-mkataba-wa.html. Terimakasih atas perhatiannya.