BINGWA wa ngumi za kulipwa wa dunia wa zamani uzito wa Middle, Marvin Nathaniel Hagler, amefariki dunia jana akiwa ana umri wa miaka 66 – mkewe, Kay G. Hagler amethibitisha.
Hagler aliyestaafu ndondi baada ya kupigwa kwa utata na Ray Charles ‘Sugar Ray’ Leonard mwaka 1987 akiwa na rekodi ya kushinda mapambano 62, kati ya hayo 52 akishinda kwa Knockouts, kupigwa matatu na droo mbili kuanzia 1973 hadi 1987.
Alikuwa bingwa asiyepingika wa uzito wa Middle kuanzia mwaka 1980 kabla ya kupigwa na Leonard ukumbi wa Caesars Palace Jijini Las Vegas Aprili 6, mwaka 1987 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3vowNmo
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang BINGWA WA DUNIA WA ZAMANI NDONDI ZA KULIPWA AFARIKI DUNIA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/03/bingwa-wa-dunia-wa-zamani-ndondi-za.html. Terimakasih atas perhatiannya.