TIMU ya Manchester City jana imeibuka na ushindi wa 5-2 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad, Manchester.
Mabao ya Man City yalifungwa na Kelvin De Bruyne mawili dakika ya 15 na 59, Riyad Mahrez mawili dakika ya 40 na 55 na Ilkay Gündogan dakika ya 45, wakati ya Southampton yalifungwa na James Ward-Prowse kwa penalti dakika ya 25 na Che Adams dakika ya 56.
Man City wanafikisha pointi 68 baada ya ushindi huo katika mchezo wa 29 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 14 zaidi ya Manchester United wanaofuatia ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2OCKOvL
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MAN CITY YAWAPIGA SOUTHAMPTON 5-2 NA KUJIWEKA SAWA KILELENI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/03/man-city-yawapiga-southampton-5-2-na.html. Terimakasih atas perhatiannya.