TIMU ya Real Madrid imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mbingwa Ulaya baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Atalanta kwenye mchezo wa marudiano wa Hatua ya 16 Bora jana Uwanja wa Alfredo Di Stéfano Jijini Madrid.
Mabao ya Real Madrid jana yalifungwa na Karim Benzema dakika ya 34 hilo likiwa bao lake la 70 kwenye Ligi ya Mabingwa, Sergio Ramos kwa penalti dakika ya 60 na Marco Asensio dakika ya 84, wakati la Atalanta lilifungwa na Luis Muriel dakika ya 83 na kwa matokeo hayo, Madrid inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-1 baada ya kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza Italia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3rYTCLb
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms