Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamebisha hodi Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulazimisha sare ya 0-0 na wenyeji, El-Merreikh Uwanja wa Al-Hilal Jijini Omdurman katika mchezo wa Kundi A jioni ya leo.
Kwa matokeo hayo, Simba SC inafikisha pointi saba baada ya kucheza mechi tatu na kuendelea kuongoza Kundi A, ikifuatiwa na AS Vita yenye pointi tatu sawa na Al Ahly ambazo zinamenyana usiku wa leo mjini Cairo, wakati Merreikh yenye pointi moja inashika mkia.
Mechi mbili za awali, Simba SC ilishinda 1-0 zote nyumbani na ugenini ikiwaadhibu AS Vita Jijini Kinshasa kwa bao la penalti mshambuliaji Mkongo Chris Kope Mutshimba Mugalu na Al Ahly Jijini Dar es Salaam kwa bao la kiungo wa kimataifa wa Msumbini, Luis Miquissone.
Sasa Simb SC inayofundishwa na kocha Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa itarejea Dar es Salaam kwa mechi mbili mfululizo za nyumbani dhidi ya Al Merreikh Machi 16 na Vita Club Aprili 2, kabla ya kwenda kucheza mechi ya mwisho na Al Ahly Aprili 9 Jijini Cairo.
Kikosi cha El Merreikh kilikuwa; Monged Abuzaid, Bakhit Khamis, Hamza Dawood/ Ramadan Agab dk12, Abdelrahman Hassan, Ahmad Adam Mohammad, Ahmed Mohamed, Tony Edjomariegwe, Tajeldin Elnour, Saifeldin Bakhit, Wagdi Allan na Darren Mattocks/ Al-Gozoli Nooh dk69.
Simba SC; Beno Kakolanya, Pascal Wawa, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’, Joash Onyango, Larry Bwalya/ Hassan Dilunga dk61, Clatous Chama/ Francis Kahata dk77, Luis Miquissone, Muzamil Yassin/ Erasto Nyoni dk61, Thadeo Lwanga, Kope Mugalu/Meddie Kagere dk89.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3c4PqTz
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms