Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam.
KLABU ya Yanga imesema hakutakuwa na kiingilio kwa mashabiki wa eneo la Mzunguko kwenye mchezo wa kwanza wa RobΓ³ Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini Jumamosi ya Machi 30 Uwanja wa BenjamΓn Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema leo katika Mkutano na Waandishi wa Habari kwamba uongozi umeamua eneo la mzunguko watu waingie bure.
Aidha, Kamwe ametaja viingilio vya maeneo mengine kuwa ni Sh. ππ,πππ
Kwa πππ C, Sh. ππ,πππ πππ B na ππ,πππ kwa πππ A.
“Tunafahamu mechi itaisha usiku sana, kwa kuwajali mashabiki wetu na dhamira ya nchi yetu hasa kwenye sekta ya michezo Viongozi wetu wameamua jukwaa la mzunguko litakuwa bure,” amesema Kamwe.
Yanga watakuwa wenyeji wa Mamelodi Sundowns Jumamosi ya Machi 30 kuanzia Saa 3:00 usiku Uwanja wa BenjamΓn Mkapa Jijini Dar es Salaam, kabla ya timu hizo kurudiana Ijumaa ya Aprili 5 Uwanja wa Loftus Jijini Pretoria.
Mara ya mwisho timu hizo zilikutana katika Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 2001 na Mamelodi Sundowns wakaitoa Yanga kwa jumla ya mabao 6-5, wakishinda 3-2 Pretoria na kutoa sare ya 3-3 Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Mshindi wa jumla baina ya Yanga na Mamelodi Sundwons atakutana na mshindi wa jumla katΓ ya Esperance ya Tunisia na ASEC Mimosas ya Ivory Coast.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/Az3FUaW
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MASHABIKI KUINGIA BURE UWANJANI YANGA NA MAMELODI MACHI 30. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/03/mashabiki-kuingia-bure-uwanjani-yanga.html. Terimakasih atas perhatiannya.