• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ▼  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ▼  Maret (77)
      • MAN CITY NA ARSENAL HAKUNA MBABE, 0-0 ETIHAD
      • LIVERPOOL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA BRIGHTON 2-1 AN...
      • MANCHESTER UNITED YAAMBULIA SARE 1-1 KWA BRENTFORD
      • YANGA YAAMBULIA SULUHU KWA MAMELODI SUNDOWNS DAR
      • CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA BURNLEY PUNGUFU S...
      • SIMBA CHALI KWA MKAPA, WAPIGWA 1-0 NA AHLY KINDA W...
      • MAMELODI SUNDOWNS WAWASILI DAR KUIKABILI YANGA SC ...
      • MWAMBA HUYU HAPA! AUCHO TAYARI KWA SHUGHULI NA MAM...
      • BENCHIKA: TUNA KAZI NGUMU MBELE YA AHLY KESHO
      • AL AHLY TAYARI WAPO DAR KUIKABILI SIMBA IJUMAA
      • SIMBA SC YAREJEA DAR TAYARI KUMVUA TAJI AHLY IJUMAA
      • YANGA NA MAMELODI SUNDOWNS MACHI 30 NI ‘MUDA DAY’ ...
      • NYONI NA ULIMWENGU WAFUTIWA KADI NYEKUNDU YA KIRUMBA
      • MSEMAJI WA SERIKALI MATINYI AFAFANUA KAULI YA WAZI...
      • ITABA ACHAPWA KWA TKO RAUNDI YA KWANZA ENGLAND
      • AZAM FC YAWACHAPA ZIMAMOTO 1-0 MECHI YA KIRAFIKI C...
      • MENEJA AIELEZA MAHAKAMA MWANAMUZIKI LAMECK DITTO A...
      • SERIKALI YATUMIA BILIONI 2.4 KUGHARAMIA TIMU ZA T...
      • KARIA AKABIDHIWA JEZI ZA SIMBA NA YANGA KAMPENI YA...
      • TANZANIA YAAMBULIA MEDALI TATU ZA SHABA NDONDI ALL...
      • KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA AL AHLY NI SH 5,000 M...
      • MASHABIKI KUINGIA BURE UWANJANI YANGA NA MAMELODI ...
      • EZRA PAUL KUREJEA NA MEDALI YA SHABA ALL AFRICAN G...
      • HUSSEIN ITABA KUPIGANA PAMBANO LA EDDIE HEARN JUMA...
      • SERIKALI YASISITIZA UZALENDO SIMBA NA YANGA DHIDI ...
      • CHANGALAWE NAYE ATINGA NUSU FAINALI NDONDI ALL AFR...
      • YANGA YAANZA KUJIFUA KIGAMBONI KUIKUSANYIA NGUVU M...
      • SIMBA SC YAINGIA KAMBINI ZANZÍBAR KUJIANDAA NA AL ...
      • UJENZI UWANJA MPYA WA KISASA WA KABUMBU ARUSHA MAM...
      • TANZANIA YAJIHAKIKISHIA MEDALI MBILI NDONDI ALL AF...
      • AZAM FC 2-1 YANGA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA )
      • FEI TOTO AFUNGA LA USHINDI AZAM YAILAZA YANGA 2-1
      • MAN UNITED YAINYUKA LIVERPOOL 4-3 NA KUTINGA NUSU ...
      • CHELSEA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND
      • MANCHESTER CITY YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0 NA K...
      • SINGIDA FOUNTAIN GATE YAZINDUKA CHINI YA JULIO, YA...
      • SIMBA SC 2-0 MASHUJAA FC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • CHAMA APIGA ZOTE SIMBA SC YAICHAPA MAAHUJAA 2-0
      • NI MAN CITY NA REAL MADRID, ARSENAL NA BAYERN MUNI...
      • LIVERPOOL NA ATALANTA, WEST HAM NA BAYER LEVERKUSE...
      • YANGA SC 1-0 GEITA GOLD (LIGI KUU TZ BARA)
      • COASTAL UNION YAICHAPA IHEFU SC 1-0 MKWAKWANI
      • AL HILAL NA SIMBA ZATUMA MAOMBI KUMNUNUA DUBE AZAM
      • BODI YAMUONYA POPAT KWA KUONGEA NA WACHEZA AZAM KA...
      • MUDATHIR YAHYA MCHEZAJI BORA WA YANGA FEBRUARI
      • TFF YASEMA SAMATTA AMEJITOA MWENYEWE TAIFA STARS
      • KAGERA SUGAR NA MTIBWA SUGAR NGOMA DROO KAITABA, 0-0
      • TANZANITE YAFUNGWA 2-1 NA GHANA ALL AFRICAN GAMES
      • ARSENAL NA BARCELONA WATINGA ROBO FAINALI LIGI YA ...
      • SIMBA SC 3-1 SINGIDA FOUNTAIN GATE (LIGI KUU YA NB...
      • NTIBANZOKIZA APIGA MBILI SIMBA SC YAICHAPA SINGIDA...
      • NI SIMBA NA AL AHLY, YANGA NA MAMELODI ROBÓ FAINAL...
      • CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE UNTED 3-2. STAMFORD BRIDGE
      • YANGA SC 5-0 IHEFU SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • YANGA SC YAITANDIKA IHEFU 5-0 NA KUJIWEKA HURU KIL...
      • KIPA WA COASTAL MCHEZAJI BORA FEBRUARI LIGI KUU, G...
      • LIVERPOOL NA MAN CITY NGOMA DROO, 1-1 ANFIELD
      • WAZIRI JUNIOR APIGA HAT TRICK KMC YAICHAPA TABORA ...
      • GEITA GOLD YAWACHAPA DODOMA JIJI 1-0 JAMHURI
      • BODI YAUFUNGIA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO KWA MECH...
      • MAN UNITED YAWACHAPA EVERTON 2-0 OLD TRAFFORD
      • YUSSUF CHANGALAWE ATUPWA NJE KUFUZU OLIMPIKI
      • JOSHUA AMTWANGA NGANNOU KWA KO RAUNDI YA PILI
      • YANGA YAREJEA KILELENI BAADA YA KUICHAPA NAMUNGO F...
      • YANICK BANGALA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI
      • DARWIN NUNEZ APIGA MBILI LIVERPOOL YASHINDA 5-1 UG...
      • DODOMA JIJI YAICHAPA TABORA UNITED 1-0 JAMHURI
      • AZAM FC YAAMBULIA SARE KWA COASTAL UNION 1-1 CHAMAZI
      • SIMBA SC CHALI JAMHURI, YAPIGWA 2-1 NA PRISONS
      • NAMUNGO FC YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 MAJALIWA
      • ONYANGO APIGA BAO PEKEE IHEFU YAIKANDA KMC 1-0 LITI
      • ARSENAL YAITANDIKA SHEFFIELD UNITED 6-0 BRAMALL LANE
      • CHANGALAWE AMCHAKAZA MVENEZUELA KWA KO ROUND YA KW...
      • FODEN APIGA MBILI MAN CITY YAICHAPA UNITED 3-1
      • FEI TOTO APIGA MBILI AZAM FC YAICHAPA DODOMA 4-1
      • MASHUJAA YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 KIGOMA
      • YANGA SC WAMALIZA MAKUNDI NA KICHAPO CHA 1-0 KWA AHLY
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » MENEJA AIELEZA MAHAKAMA MWANAMUZIKI LAMECK DITTO AMEKOSESHWA SH. BILIONI 1.8

MENEJA AIELEZA MAHAKAMA MWANAMUZIKI LAMECK DITTO AMEKOSESHWA SH. BILIONI 1.8


Mwanamuziki Lameck Ditto ambaye amekoseshwa Sh 1.8bilioni
 kampuni ya MultiChoice Tanzania Limited


KESI ya Madai baina ya mwanamuziki Lameck Ditto na kampuni ya MultiChoice Tanzania Limited iliendela kusikilizwa jana katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam.
Meneja wa mwanamuziki huyo, Rodney Rugambo aliieleza Mahakama Kuu hiyo namna ambavyo Lameck Ditto aliathirika baada ya wimbo wake wa Nchi Yangu kutumiwa na MultiChoice Tanzania Limited kwenye matangazo yao ya biashara kipindi cha Kampeni ya Afcon 2019.
Akitoa ushahidi wake, mbele ya jaji mfawidhi, Salma Maghimbi jana, Rodney ambaye ni shahidi wa nne kati ya watano  katika kesi hiyo ya madai, alisema amekuwa meneja wa Ditto tangu mwaka 2016.
Alisema, mwaka 2017, Ditto aliandika wimbo huo, wakilenga kuutumia kama nembo (brand) kwenye kampeni ya Kibanda umiza.
"Wimbo ulipotengenezwa, tulikuwa na mpango wa kuitumia kwenye kampeni ya Kibanda umiza," alisema.
Katika ushahidi wake, alidai kwenye kampeni hiyo, katika kipindi cha miaka mitano, Ditto angelipwa Sh 1.8bilioni.
Alisema, kabla ya kuanza kwa kampeni hiyo, waratibu wa Tamasha la urithi, waliuomba kuutumia kwenye tamasha hilo.
"Kwenye tamasha la urithi wimbo huo haukutumika kwa ajili ya kibiashara, tukiwa tunaendelea na mchakato wa kuutumia kwenye kampeni ya Kibanda umiza,  tulishangaa kuona DSTV (Kampuni ya
MultiChoice Tanzania Limited) wameutumia kwenye matangazo yao ya kibiashara," alisema meneja huyo.
Alisema, jambo lile lilimuathiri Ditto ambaye hakuweza kuendelea kwenye kampeni ya Kibanda Umiza.
"Wimbo wa Nchi yangu haukutumiwa tena kwenye kampeni ile na yeye (Ditto) kushindwa kuendelea na mkataba ule, kwani tayari wimbo ulishatumika kibiashara na kampuni nyingine hivyo thamani yake kushuka," alisema Rodney.
Baada ya kutoa ushahidi wake, mawakili wa Multi Choice Thomas Mathias na Lyimo walimuuliza maswali kadhaa shahidi huyo, ikiwamo endapo anafahamu kuhusu mashindano ya Afcon na shahidi huyo kueleza hajui chochote kuhusu mpira wa miguu.
Ditto ambaye jina lake halisi ni Dotto Bernard Bwakeya alifungua kesi ya madai Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam mwaka 2020 akiomba iamuru kampuni Multi Choice Tanzania imlipe fidia ya Sh 6bilioni kwa kutumia wimbo  wa Nchi Yangu aliodai ni wake kwenye matangazo yao ya biashara bila ridhaa yake.
Pia ameiomba Mahakama iamuru alipwe Milioni 200 kutokana na madhara ya jumla, pia alipwe riba ya asilimia 25 tangu siku alipofungua shauri hilo akidai kampuni hiyo imemnyima fursa ya kunufaika na kazi yake.
Kesi hiyo itaendelea tena Jumatatu, Machi 25 kwa shshidi watano kutoa ushahidi wake Mahakamani hapo, upande wa mshtaka ukiongozwa na mawakili Ally Hamza na Elezabeth John.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/bdHjATC best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MENEJA AIELEZA MAHAKAMA MWANAMUZIKI LAMECK DITTO AMEKOSESHWA SH. BILIONI 1.8. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/03/meneja-aieleza-mahakama-mwanamuziki.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 03.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
Copyright Viral Sports: MENEJA AIELEZA MAHAKAMA MWANAMUZIKI LAMECK DITTO AMEKOSESHWA SH. BILIONI 1.8