TIMU ya Singida Fountain Gate imezinduka kwa kuichapa Namungo FC 1-0, bao pekee la beki Mghana, Nicholas Gyan dakika y 15 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Kwa ushindi huo wa kwanza ndani ya mechi 10 Singida Fountain Gate inafikisha pointi 24 na kupanda nafasi ya saba, wakati Namungo FC inabaki na pointi zake 23 na inashukia nafasi ya tisa baada ya wote kucheza mechi 21.
Mechi tisa zilizopita, Singida Fountain Gate imepoteza sita, 0-1 Geita Gold, 0-1 Kagera Sugar, 1-3 Tanzania Prisons, 0-1 Azam FC, 0-2 Mtibwa Sugar na 1-3 Simba SC na kutoa sare tatu, 2-2 JKT Tanzania, 0-0 KMC na 1-1 Tabita United.
Baada ya mechi nane za bila kushinda Singida walimfukuza Kocha Thabo Senong raia wa Afrika Kusini na mzawa, Ngawina Ramadhani akaiongoza timu kufungwa 3-1 na Simba, kabla ya kocha maarufu mzawa, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ kupewa madaraka na leo wamezinduka.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/tRhUjl0
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms