KOCHA Mkuu wa Simba SC, Fadluraghman 'Fadlu' Davids amesema kwamba ataingia na mbinu tofauti kuhakikisha anapata matokeo mazuri dhidi ya watani, Yanga leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, Davids amesema analazimika kufanya hivyo kutokana na uzoefu wake wa mechi za wapinzanina yeye timu yake ni mpya.
"Tunaichukulia hii mechi kama nyingine, tunahitaji kushinda ili kuanza vizuri msimu kwa kulitetea Kombe hili. Nina uzoefu wa michezo hii mikubwa ya wapinzani, ukiangalia timu yetu ni mpya, tutakuja na mbinu tofauti kuhakikisha tunapata matokeo mazuri,"amesema raia huyo wa Afrika Kusini.
Kwa upande wake Nahodha wa timu hiyo, Mohamed Hussein 'Tshabalala' amesema kwamba utakuwa mchezo wenye ushindani kwa sababu wanakwenda kukutana na timu yenye wachezaji wazuri, ila malengo yao ni kupata ushindi.
"Kulingana na maandalizi tuliyoyafanya, timu yetu imeimarika zaidi, ila tunaamini tunakwenda kukutana na timu yenye wachezaji wazuri. Utakuwa mchezo wenye ushindani, ila malengo yetu ni kupata ushindi,"amesema.
Simba watamenyana na Yanga katika Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii leo kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Mkapa na mshindi atakutana na mshindi kati ya Azam FC na Coastal Union zinazomenyana pia leo Saa 10:00 jioni Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/IFotSPC
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms