TIMU ya Simba Queens imekamilisha mechi zake za Kundi B Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa sare ya kufungana mabao 2-2 na PVP Buyenzi ya Burundi leo Uwanja wa Abebe Bikila mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Mabao ya Simba Queens leo yamefungwa na nyota wake wa Kimataifa wa Kenya, kiungo Vivian Corazone Aquino Odhiambo Vivien na mshambuliaji Jentrix Shikangwa Milimu na kwa matokeo hayo wanamaliza na pointi saba na kuongoza Kundi B mbele ya Kawempe Muslim ya Uganda.
Kawempe imemaliza na pointi sita baada ya ushindi wa 10-0 dhidi ya FAD ya Djibouti leo pia Uwanja wa Abebe Bikila, mabao yake yakifungwa na Hadijjah Nandago matano, Shadia Nabirye mawili, Rebecca Nakato, Halimah Kampi na Mary Kabucurezi moja kila mmoja.
Sasa katika Nusu Fainali, Simba Queens watamenyana na washindi wa pili wa Kundi A, Polisi ya Kenya, wakati Kawempe Muslim watacheza na vinara wa Kundi A, wenyeji CBE FC Jumatatu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/ea8DUNW
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms