• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ▼  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ▼  September (466)
      • LUKAKU, BENTEKE WOTE WAFUNGA PALACE NA EVERTON ZIK...
      • MWISHO WA UBISHI LEO; NI SIMBA SC AU YANGA KUENDEL...
      • MAZOEZI YA MWISHO YA SERENGETI BOYS KABLA YA KUIVA...
      • AZAM WAANZIA TANGA KUSAKA VIPAJI VYA U-17, ZANZIBA...
      • MUONGO HUU SIMBA KABURUZWA NA YANGA HADI AIBU!
      • YANGA HATA IWE BORA, KUIFUNGA SIMBA KWA MBINDE
      • SERENGETI BOYS MAZOEZINI JANA KONGO
      • MAN UNITED 1-0 ZORYA
      • IBRAHIMOVIC AIFUNGIA MAN UNITED BAO PEKEE IKISHIND...
      • SAMATTA AIBUKA KIPINDI CHA PILI GENK YAUA 3-1 EURO...
      • SIMBA, YANGA ZAREJEA KESHO DAR TAYARI KWA KIPUTE C...
      • Vaal Saturday 1 October 2016 Best Bets
      • Greyville Friday 30 September 2016 Best Bets
      • Fairview Friday 30 September 2016 Best Bets
      • Bet Games Summer Madness Promotion
      • Win a Big Boy Scooter with Hollywoodbets
      • WACHEZAJI WA GHANA HAWANA NGUVU KWA SABABU YA KUEN...
      • MAKOCHA SERENGETI BOYS WASEMA VIJANA WAKO TAYARI K...
      • MKWASA AITA WACHEZAJI 24 KUIVAA ETHIOPIA OKTOBA 8 ...
      • Win a VIP Experience with Hollywoodbets and Jerry ...
      • Currie Cup: Round 9 Preview
      • South Africa NFD: Week 5 Preview
      • Rugby Championship: Argentina v New Zealand Preview
      • EPL: Watford v Bournemouth Preview
      • Rugby Championship: South Africa v Australia Preview
      • AZAM FC WAPANIA KUREJESHA HESHIMA JUMAPILI LIGI KUU
      • EPL: Everton v Crystal Palace Preview
      • EPL: Swansea City v Liverpool Preview
      • French Ligue 1: Week 8 Preview
      • ATLETICO MADRID 1-0 BAYERN MUNICH
      • CELTIC 3-3 MAN CITY
      • BORUSSIA MOENCHENGLADBACH 1-2 BARCELONA
      • ARSENAL 2-0 BASEL
      • MANJI AMEWAPA YANGA ENEO AMBALO LINAMILIKIWA NA WA...
      • Betgames Africa Statistics: 21 September - 27 Sept...
      • MO DEWJI ANAMWAGA FEDHA TU SIMBA...SASA MSIMBAZI N...
      • Italian Serie A: Week 7 Preview
      • Malaysian Grand Prix 2016 Preview
      • WALCOTT APIGA ZOTE MBILI, ARSENAL YALZA 2-0 BUSSLE
      • BARCELONA YANG'ANG'ANIWA SCOLTLAND, SARE 3-3 NA CE...
      • BARCELONA YASHINDA 2-1 UGENINI, PIQUE AFUNGA
      • ATLETICO MADRID YAILAZA 1-0 BAYERN MUNICH
      • SERENGETI BOYS WALIVYOWASILI BRAZAVILLE LEO TAYARI...
      • German Bundesliga: Week 6 Preview
      • Vaal Thursday 29 September 2016 Best Bets
      • La Liga: Week 7 Preview
      • MTN8 Final: Wits v Sundowns Preview
      • South Africa vs Australia: First ODI Preview
      • Hollywoodbets introduces another way to bet!
      • MANJI AIPA YANGA SC ENEO LA EKARI 715 UFUKWENI KUJ...
      • EPL: Tottenham v Manchester City Preview
      • India vs New Zealand: Second Test Preview
      • EPL: Week 7 Preview
      • The 2016 Ryder Cup Preview
      • TFF YAZITAKA SIMBA NA YANGA KUMALIZANA ZENYEWE ISH...
      • HAWA NDIYO MABINGWA WA KWANZA WA MECHI YA NGAO TAN...
      • SIMBA NA YANGA ISITUSAHAULISHE SERENGETI BOYS NA V...
      • Durbanville Wednesday 28 September 2016 Best Bets
      • DINAMO ZAGREB 0-4 JUVENTUS
      • LEICESTER CITY 1-0 PORTO
      • BORUSSIA DORTMUND 2-2 REAL MADRID
      • REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA DORTMUND LIGI...
      • HIGUAIN AFUNGA JUVE IKIUA 4-0 UGENINI LIGI YA MABI...
      • LEICESTER CITY YAILAZA PORTO 1-0 LGI YA MABINGWA
      • YANGA WAMKATIA RUFAA MCHEZAJI WA STAND UNITED
      • REFA ALIYEFUNGIWA KWA KUVURUNDA APEWA SIMBA NA YAN...
      • HAJIB AINUKA, AANZA KUJIFUA SIMBA SC
      • KAVUMBANGU APATA TIMU ETHIOPIA
      • MRWANDA AING’ARISHA KAGERA SUGAR, YAILAZA 2-0 AFRI...
      • FARID MUSSA AKWAMA KWENDA HISPANIA SABABU YA VISA ...
      • Europa League: Week Two Selected Fixtures Preview
      • NI MO BEJAIA NA TP MAZEMBE FAINALI KOMBE LA SHIRIK...
      • Vaal Tuesday 27 September 2016 Best Bets
      • YANGA WAENDA PEMBA KUFUFUA MAKALI WAUE MNYAMA OKTO...
      • YANGA NA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA KAMBARAGE
      • MAZEMBE WATINGA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
      • YANGA HOI, CHALI KAMBARAGE, WAPIGWA 1-0 NA STAND U...
      • Champions League: Wednesday Preview
      • UEFA Champions League: Tuesday Preview
      • STARS WAIFUATA ETHIOPIA MECHI YA KIRAFIKI OKTOBA 8
      • YANGA SC KUENDELEZA UBABE SHINYANGA LEO?
      • from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2...
      • NI ZAMALEK NA MAMELODI FAINALI LIGI YA MABINGWA AF...
      • SIMBA NA MAJI MAJI KATIKA PICHA JANA TAIFA
      • YANGA ILIPOKUFA 2-1 KWA STOKE CITY YA ENGLAND 1991
      • MAREFA WA NYUMBANI SI CHAGUO SAHIHI TENA KWA MECHI...
      • REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA LAS PALMAS
      • SIMBA YAENDA MORO KUJIANDAA NA YANGA, HAJIB HATARI...
      • AZAM VETERANI YAIRARUA SITAKISHARI 2-0 GYMKHANA
      • SWANSEA CITY 1-3 MAN CITY
      • SPORTING GIJON 0-5 BARCELONA
      • LIVERPOOL 5-1 HULL CITY
      • ARSENAL 3-0 CHELSEA
      • MAN UNITED 4-1 LEICESTER CITY
      • ARSENAL YAIFUMUA CHELSEA 3-0 EMIRATES
      • BARCELONA YASHINDA 5-0 UGENINI LA LIGA
      • LIVERPOOL YAIFUMUA 5-1 HULL CITY
      • AGUERO APIGA MBILI MAN CITY YAUA 3-1 ENGLAND
      • NDANDA YAITOTESHA AZAM 2-1, MBAO YATOA SARE 1-1 NA...
      • SIMBA YATUMA SALAMU YANGA, YAITANDIKA MAJI MAJI 4-...
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » MAREFA WA NYUMBANI SI CHAGUO SAHIHI TENA KWA MECHI YA MAHASIMU WA JADI

MAREFA WA NYUMBANI SI CHAGUO SAHIHI TENA KWA MECHI YA MAHASIMU WA JADI

MECHI ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga imepangwa kufanyika  Jumamosi ijayo, Oktoba 1, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hadi sasa, waamuzi wa mchezo huo hawajatajwa – lakini ni matarajio kwamba kama ilivyo ada watatoka katika orodha ya waamuzi wa Ligi Kuu kwa sasa.
Kwa takriban miaka 10 sasa nimekuwa nikiandika kushauri mchezo wa watani wa jadi uchezeshwe na marefa wa kigeni, ili pamoja na kuuongezea thamani yake, lakini pia kuondoa hofu ya waamuzi kuhongwa. 
Hiyo ni kwa sababu tunaamini, Tanzania ina wapenzi wawili tu wa soka, mmoja Simba na mwingine Yanga SC- hizi timu nyingine zina watu ambao wanazisapoti tu.
Na mpenzi yeyote wa soka nchini, lazima atakuwa anapenda ama Simba, au Yanga SC. Katika hilo tusidanganyane.
Viongozi wa vyama vya soka kuanzia wilaya, mikoa hadi taifa- wengine Simba na wengine Yanga SC. Viongozi wa klabu nyingine pia, nao wapo wenye mapenzi ya Simba, wengine Yanga SC.
Waandishi wa Habari za soka, pia tupo kwenye mkumbo huo na ndiyo maana Hajji Manara ni Ofisa Habari wa Simba SC na Jerry Muro wa Yanga SC.
Watangazaji wa Redio na Televisheni kadhalika, wapo Simba na Yanga na ndiyo maana Mshindo Mkeyenge alikuwa Katibu Mwenezi wa Yanga SC, na Juma Nkamia alikuwa wa Simba SC. Hata marefa na makocha, nao wana mapenzi na moja ya hizi klabu.
Baada ya kuwa mpenzi wa Simba, au Yanga na ukiwa na dhamana katika soka ya nchi hii kinachotazamwa ni uadilifu wako katika utendaji. Hauleti upendeleo kwa shinikizo la mapenzi?
Kama wewe ni Mwandishi wa Habari, je, hauleti mapenzi yako katika uandishi wao, jambo ambalo ni kinyume na maadili ya taaluma?
Vile vile kwa marefa, je katika uchezeshaji wao hawaingizi mapenzi yao?
Kwa asilimia kubwa Watanzania tumeshindwa kujidhibiti kwenye suala la Usimba na Uyanga na ndiyo maana nimekuwa nikirudia kuandika, mechi ya mahasimu hao wa jadi, umefika wakati sasa ihamishiwe kwa marefa wa kigeni.
Na kufanya hivyo kutaiongezea thamani yake na kujenga imani pia ya haki- tuwaache wenyewe baada ya mechi wafungie wachezaji wao kwa tuhuma za kuhujumu.  
Miaka mitano iliyopita, wachambuzi waliobobea wa Televisheni ya kulipia ya kimataifa SuperSport ya Afrika Kusini, waliwahi kuiingiza mechi ya Simba na Yanga katika orodha ya mechi tatu kali za wapinzani wa jadi Afrika - nyingine zikiwa ni kati ya Orlando Pirates na Kaizer Chiefs za Afrika Kusini na Al Ahly dhidi ya Zamalek za Misri.
Hakuna ubishi kwamba upinzani wa Ahly na Zamalek huo ni dunia nzima - ni zaidi ya upinzani, lakini kwa Afrika fuatilia ligi nyingi, utagundua Simba na Yanga ni mechi yenye mvuto wa kipekee na ndiyo maana SuperSport walikuwa wanakuja kuionyesha ‘Live’ kabla ya Azam TV kununu haki za matangazo ya Ligi Kuu kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Unaweza kutilia shaka kiwango cha soka cha timu hizo, lakini si upinzani wao kwa maana ya upinzani na hamasa za kishabiki. Watu wanazimia na wengine kufa, kujiua kwa sababu ya Simba na Yanga.
Upinzani wao ni sehemu ya burudani na kama iko siku zitakuwa timu imara na kucheza soka ya kuvutia, basi burudani itakuwa mara mbili.
Hata hivyo kuna mambo mawili au matatu ambayo kwa kiasi fulani yamekuwa yakipunguza ladha ya mechi za watani hao wa jadi.
Awali tatizo kubwa lilikuwa Uwanja mdogo wa Uhuru, lakini tangu kukamilika kwa Uwanja wa Taifa ambao tumeshuhudia mechi zote zilizochezwa hapo, haijatokea mechi hata moja mashabiki wakajaza viti, mambo yamekuwa mazuri.
Matatizo mawili yaliyobakia ni viwango vya timu kuboreshwa, ili ifike wakati pamoja na upinzani na kukamiana lakini watazamaji washuhudie soka safi.
Tatizo la pili ni marefa, kweli ilipofikia na kama kweli lengo ni kuiongezea msisimko zaidi mechi ya watani, waamuzi wa Tanzania wawekwe kando na watumike waamuzi kutoka nje ya nchi, tena ikibidi nje kabisa ya nchi tatu za Jumuiya yetu ya Afrika Mashariki.
Rejea mchezo wa Machi 5, mwaka 2011 Uwanja wa Taifa, refa Orden Mbaga aliivuruga mno mechi hiyo, kutokana tu na pengine mchecheto ama kutaka kufanya kile ambacho kinaitwa ‘kubalansi’ mchezo au kukwepa lawama, matokeo yake akafanya madudu.
Dakika ya 58 Juma Said Nyosso alimkwatua Mzambia Davies Robby Mwape kwenye eneo la hatari akawapa penalti Yanga na kilichofuatia wengi walijua beki huyo wa Simba atatolewa nje kwa kadi nyekundu, badala yake akampa kadi ya njano.
Ngumu kuamini Mbaga, refa mwenye beji ya Shrikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) hajui alipaswa kufanya nini kwa Nyosso, lakini kwa sababu ni refa wa nyumbani na aliongoza wapinzani wa jadi katika mechi ya nyumbani, alihofia kumtoa mchezaji kwa kadi nyekundu angeshushiwa lawama nzito. Marefa hufanyiwa fujo na kupigwa na mashabiki, labda alihofia hali hiyo pia.
Dakika ya 73 Simba walipata bao safi la kusawazisha lililofungwa kwa kichwa na Mussa Hassan Mgosi, aliyeuwahi mpira uliotemwa na kipa Mghana Yaw Berko kufuatia shuti la mpira wa adhabu, lililogonga mwamba wa juu na kudondokea nyavuni kabla ya kuokolewa na mabeki wa Yanga.
Halikuwa bao lenye shaka yoyote, hakukuwa na kuotea wala dosari yoyote, lakini haieleweki kwa nini Mbaga alilikataa bao hilo awali.
Ilikuwa offside au mpira haukutinga nyavuni hadi akalikataa kwanza? Haijulikani, lakini alilikubali baada ya wachezaji wa Simba kumuambia aangalie kwenye TV kubwa iliyopo uwanjani marudio ya tukio lile na baada ya hapo akaenda kujadiliana na msaidizi wake, ndipo akalikubali.
Tujiulize, kusingekuwa na ile TV, Simba wangedhulumiwa bao lao?
Mbaga alichemsha- lakini si Mbaga tu, marefa wengi wa Tanzania waliwahi kutokota kabla yake na nitakumbushia baadhi ya mechi.   
Machi 31, mwaka 2002 katika fainali ya Kombe la Tusker, Simba ikishinda 4-1, refa Abdulkadir Omar ‘Msomali’ aliivuruga mechi na kuhatarisha amani uwanjani pia kwa madudu yake.
Kwa nini? Katika mechi hiyo ya fainali iliyohudhuriwa na rais mstaafu wa awamu ya pili ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, chupuchupu ivunjike dakika ya 32, baada ya Madaraka Suleiman kufunga bao ambalo kabla ya kufumua shuti lililomshinda kipa Manyika Peter, aliushika mpira kwa makusudi, ili kuuweka sawa. 
Rais wa Yanga wakati huo, Tarimba Abbas aliinuka na kuwaonyesha ishara wachezaji wake watoke uwanjani na hapo ndipo meza kuu aliyokuwa ameketi mzee Mwinyi, ilipoanza kushambuliwa kwa chupa za maji na mashabiki wa Yanga. Abdulkadir Omar alisubiri hadi vurugu zilipotulizwa na FFU ndipo akaendeleza mchezo. Tarimba alitoka nje na hakutaka kuendelea kushuhudia mchezo huo. Baada ya hapo, alifungiwa na Chama cha Soka Tanzania, (FAT), sasa TFF kabla ya kujiuzulu uongozi wa klabu hiyo baadaye.
Agosti 18, mwaka 2002 Simba na Yanga zikitoka sare ya 1-1 katika mechi ya Ligi Kuu, refa Victor Mwandike aliwaacha mashabiki wa Simba midomo wazi kwa kuwapa Yanga penalti ya utata dakika ya 89 na ushei, ambayo Sekilojo Chambua aliitumia vema kuisawazishia bao timu yake, baada ya Simba kutangulia kufunga kupitia kwa Madaraka Suleiman dakika ya 65.
Oktoba 24, mwaka 2007, refa Osman Kazi alikataa mabao matatu yaliyofungwa na Yanga, yote akidai kipa Juma Kaseja alisukumwa na wachezaji wa Yanga, lakini kwa yeyote atakayerudia kuangalia DVD ya mchezo ule, hawezi kuona ukweli wa madai ya Kazi.
Awali ya hapo, Kazi aliwahi kupuliza filimbi ya kumaliza dakika 45 za kipindi cha kwanza katika Nusu Fainali ya Kombe la Tusker mwaka 2005 mjini Mwanza, wakati mchezaji wa Yanga, Said Maulid ‘SMG’ amekwishawatoka mabeki wa Simba na anakwenda na mpira mbele yake amebaki Juma Kaseja tu.
Refa ni mwamuzi wa mwisho- lakini kwa wana Yanga walijutia mno tukio lile kwenye mchezo ambao mwishowe walifungwa 2-0, kwa mabao ya kipindi cha pili ya Emmanuel Gabriel na Mussa Mgosi.
Aprili 19, mwaka 2009, Jerry Tegete aliifungia Yanga bao la kusawazisha kwa mkono na kutengeneza sare ya 2-2, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Refa makini asingeweza kukubali bao lile, hivyo kwa haya yote lazima tukubali marefa wa Tanzania hawawezi tena kuchezesha mechi za watani wa jadi.
Sababu nyingine za marefa wetu kuzishindwa mechi hizo ni hiyo ya mapenzi yao kwa moja ya timu hizo, kitu ambacho Misri wamekiepuka na mechi ya Zamalek na Ahly inachezeshwa na marefa kutoka nje ya nchi yao.
Mfano mchezo uliopita wa wapinzani wa Jiji la Cairo, Al Ahly ikishinda 2-0 ilichezeshwa na refa wa Hungary mwenye umri wa miaka 40, Viktor Kassai aliyechezesha fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2011.
Baada ya kufungwa, Zamalek wakamfukuza kocha wao Ahmed Hossam, maarufu kama Mido. 
Nakumbuka refa kutoka Uganda, Dennis Bate aliyechezesha fainali ya mwisho ya Kombe la Tusker mwaka 2009 kati ya Simba na Yanga, aliiongoza vizuri mechi hiyo na akadhibiti ujanja wote wa wachezaji kutaka kumdanganya na hatimaye aboronge.
Kuna wachezaji wanaitwa wazoefu wa mechi za Simba na Yanga na hawa wamekuwa wakiwapoteza sana marefa kwa uzoefu wa kucheza mechi hizo, lakini kama marefa watatoka nje ya Tanzania, tena wa kiwango cha beji za FIFA, uhondo wa mechi za watani utaongezeka maradufu. Ila kwa sasa, marefa wazawa si chaguo sahihi tena kwa mechi za watani. Alamsiki.


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2diYGnT best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MAREFA WA NYUMBANI SI CHAGUO SAHIHI TENA KWA MECHI YA MAHASIMU WA JADI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/09/marefa-wa-nyumbani-si-chaguo-sahihi.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 20.57
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • Vaal Thursday 29 September 2016 Best Bets
    Winning Form brings you their best tips for Vaal's racing on Thursday 29th of September 2016. Comments, images and betting and are pro...
Copyright Viral Sports: MAREFA WA NYUMBANI SI CHAGUO SAHIHI TENA KWA MECHI YA MAHASIMU WA JADI