MKURUGENZI wa Ufundi wa klabu ya Asante Kotoko, Malik Jabir amesema wachezaji wa Ligi Kuu ya Ghana wanakosa nguvu kwa sababu wanapenda sana ngono.
Jabir ameyasema hayo katika mahojiano maalum na Redio Ultimate FM ya Kumasi, Ghana.
“Ngono kupita kiasi” ndiyo sababu aliyoitaja kupunguza nguvu za wachezaji Ghana.
Kwa mujibu wa kocha huyo mkongwe, asilimia kubwa ya wachezaji wa siku hizi wanaondolewa njiani kwa urahisi na hawana uwezo wa kucheza kwa nguvu muda wote wa mchezo hawana mazoezi ya kutosha.
“Wachezaji wengi wa leo hawawezi kucheza dakika 90, kwa sababu wanachoka haraka. Na unajua kwa nini? Kwa sababu hawalali kiasi cha kutosha na hawapati mazoezi ya kutosha na wanafanya ngono sana.”
“Kuna wasichana wazuri wadogo Ghana Ghana na hawawezi kuwaacha peke yao,” amesema kocha Malik Jabir akizungumza na Ultimate FM na kushauri; “Kuna wakati wa hayo mambo, na wakati wa soka. Ukiyachanganya hayo mambo mawili, huwezi kufika juu,".
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2du5TWA
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms