• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ▼  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ▼  September (466)
      • LUKAKU, BENTEKE WOTE WAFUNGA PALACE NA EVERTON ZIK...
      • MWISHO WA UBISHI LEO; NI SIMBA SC AU YANGA KUENDEL...
      • MAZOEZI YA MWISHO YA SERENGETI BOYS KABLA YA KUIVA...
      • AZAM WAANZIA TANGA KUSAKA VIPAJI VYA U-17, ZANZIBA...
      • MUONGO HUU SIMBA KABURUZWA NA YANGA HADI AIBU!
      • YANGA HATA IWE BORA, KUIFUNGA SIMBA KWA MBINDE
      • SERENGETI BOYS MAZOEZINI JANA KONGO
      • MAN UNITED 1-0 ZORYA
      • IBRAHIMOVIC AIFUNGIA MAN UNITED BAO PEKEE IKISHIND...
      • SAMATTA AIBUKA KIPINDI CHA PILI GENK YAUA 3-1 EURO...
      • SIMBA, YANGA ZAREJEA KESHO DAR TAYARI KWA KIPUTE C...
      • Vaal Saturday 1 October 2016 Best Bets
      • Greyville Friday 30 September 2016 Best Bets
      • Fairview Friday 30 September 2016 Best Bets
      • Bet Games Summer Madness Promotion
      • Win a Big Boy Scooter with Hollywoodbets
      • WACHEZAJI WA GHANA HAWANA NGUVU KWA SABABU YA KUEN...
      • MAKOCHA SERENGETI BOYS WASEMA VIJANA WAKO TAYARI K...
      • MKWASA AITA WACHEZAJI 24 KUIVAA ETHIOPIA OKTOBA 8 ...
      • Win a VIP Experience with Hollywoodbets and Jerry ...
      • Currie Cup: Round 9 Preview
      • South Africa NFD: Week 5 Preview
      • Rugby Championship: Argentina v New Zealand Preview
      • EPL: Watford v Bournemouth Preview
      • Rugby Championship: South Africa v Australia Preview
      • AZAM FC WAPANIA KUREJESHA HESHIMA JUMAPILI LIGI KUU
      • EPL: Everton v Crystal Palace Preview
      • EPL: Swansea City v Liverpool Preview
      • French Ligue 1: Week 8 Preview
      • ATLETICO MADRID 1-0 BAYERN MUNICH
      • CELTIC 3-3 MAN CITY
      • BORUSSIA MOENCHENGLADBACH 1-2 BARCELONA
      • ARSENAL 2-0 BASEL
      • MANJI AMEWAPA YANGA ENEO AMBALO LINAMILIKIWA NA WA...
      • Betgames Africa Statistics: 21 September - 27 Sept...
      • MO DEWJI ANAMWAGA FEDHA TU SIMBA...SASA MSIMBAZI N...
      • Italian Serie A: Week 7 Preview
      • Malaysian Grand Prix 2016 Preview
      • WALCOTT APIGA ZOTE MBILI, ARSENAL YALZA 2-0 BUSSLE
      • BARCELONA YANG'ANG'ANIWA SCOLTLAND, SARE 3-3 NA CE...
      • BARCELONA YASHINDA 2-1 UGENINI, PIQUE AFUNGA
      • ATLETICO MADRID YAILAZA 1-0 BAYERN MUNICH
      • SERENGETI BOYS WALIVYOWASILI BRAZAVILLE LEO TAYARI...
      • German Bundesliga: Week 6 Preview
      • Vaal Thursday 29 September 2016 Best Bets
      • La Liga: Week 7 Preview
      • MTN8 Final: Wits v Sundowns Preview
      • South Africa vs Australia: First ODI Preview
      • Hollywoodbets introduces another way to bet!
      • MANJI AIPA YANGA SC ENEO LA EKARI 715 UFUKWENI KUJ...
      • EPL: Tottenham v Manchester City Preview
      • India vs New Zealand: Second Test Preview
      • EPL: Week 7 Preview
      • The 2016 Ryder Cup Preview
      • TFF YAZITAKA SIMBA NA YANGA KUMALIZANA ZENYEWE ISH...
      • HAWA NDIYO MABINGWA WA KWANZA WA MECHI YA NGAO TAN...
      • SIMBA NA YANGA ISITUSAHAULISHE SERENGETI BOYS NA V...
      • Durbanville Wednesday 28 September 2016 Best Bets
      • DINAMO ZAGREB 0-4 JUVENTUS
      • LEICESTER CITY 1-0 PORTO
      • BORUSSIA DORTMUND 2-2 REAL MADRID
      • REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA DORTMUND LIGI...
      • HIGUAIN AFUNGA JUVE IKIUA 4-0 UGENINI LIGI YA MABI...
      • LEICESTER CITY YAILAZA PORTO 1-0 LGI YA MABINGWA
      • YANGA WAMKATIA RUFAA MCHEZAJI WA STAND UNITED
      • REFA ALIYEFUNGIWA KWA KUVURUNDA APEWA SIMBA NA YAN...
      • HAJIB AINUKA, AANZA KUJIFUA SIMBA SC
      • KAVUMBANGU APATA TIMU ETHIOPIA
      • MRWANDA AING’ARISHA KAGERA SUGAR, YAILAZA 2-0 AFRI...
      • FARID MUSSA AKWAMA KWENDA HISPANIA SABABU YA VISA ...
      • Europa League: Week Two Selected Fixtures Preview
      • NI MO BEJAIA NA TP MAZEMBE FAINALI KOMBE LA SHIRIK...
      • Vaal Tuesday 27 September 2016 Best Bets
      • YANGA WAENDA PEMBA KUFUFUA MAKALI WAUE MNYAMA OKTO...
      • YANGA NA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA KAMBARAGE
      • MAZEMBE WATINGA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
      • YANGA HOI, CHALI KAMBARAGE, WAPIGWA 1-0 NA STAND U...
      • Champions League: Wednesday Preview
      • UEFA Champions League: Tuesday Preview
      • STARS WAIFUATA ETHIOPIA MECHI YA KIRAFIKI OKTOBA 8
      • YANGA SC KUENDELEZA UBABE SHINYANGA LEO?
      • from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2...
      • NI ZAMALEK NA MAMELODI FAINALI LIGI YA MABINGWA AF...
      • SIMBA NA MAJI MAJI KATIKA PICHA JANA TAIFA
      • YANGA ILIPOKUFA 2-1 KWA STOKE CITY YA ENGLAND 1991
      • MAREFA WA NYUMBANI SI CHAGUO SAHIHI TENA KWA MECHI...
      • REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA LAS PALMAS
      • SIMBA YAENDA MORO KUJIANDAA NA YANGA, HAJIB HATARI...
      • AZAM VETERANI YAIRARUA SITAKISHARI 2-0 GYMKHANA
      • SWANSEA CITY 1-3 MAN CITY
      • SPORTING GIJON 0-5 BARCELONA
      • LIVERPOOL 5-1 HULL CITY
      • ARSENAL 3-0 CHELSEA
      • MAN UNITED 4-1 LEICESTER CITY
      • ARSENAL YAIFUMUA CHELSEA 3-0 EMIRATES
      • BARCELONA YASHINDA 5-0 UGENINI LA LIGA
      • LIVERPOOL YAIFUMUA 5-1 HULL CITY
      • AGUERO APIGA MBILI MAN CITY YAUA 3-1 ENGLAND
      • NDANDA YAITOTESHA AZAM 2-1, MBAO YATOA SARE 1-1 NA...
      • SIMBA YATUMA SALAMU YANGA, YAITANDIKA MAJI MAJI 4-...
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » MUONGO HUU SIMBA KABURUZWA NA YANGA HADI AIBU!

MUONGO HUU SIMBA KABURUZWA NA YANGA HADI AIBU!

REKODI YA SIMBA NA YANGA TANGU MWAKA 2010
P W D L GF GA GD Pts
Yanga SC 13 5 5 3 16 15 1 15
Simba SC 13 3 5 4 15 16 -1 9
Viungo wa zamani wa timu hizo, Athumani Iddi 'Chuji' wa Yanga (kushoto) na Amri Kiemba wa Simba SC (kulia) wakionyesha kazi katika moja ya mechi za mwanzoni mwa muongo 

APRILI 18, 2010
Simba Vs Yanga
4-3
WAFUNGAJI:
SIMBA: Uhuru Suleiman dk 3, Mussa Mgosi dk 53 na 74, Hillary Echesa dk 90+  
YANGA: Athumani Iddi dk 30, Jerry Tegete dk 69 na 89 
OKTOBA 16, 2010:
Yanga Vs Simba
1-0
MFUNGAJI: Jerry Tegete dk 70
MACHI 5, 2011
Simba Vs Yanga
1-1
WAFUNGAJI:
YANGA: Stefano Mwasyika (penalti) dk 59. 
SIMBA:  Mussa Mgosi dk 73.
(Refa Orden Mbaga alizua tafrani uwanjani, kwanza kwa kulikataa bao la kusawazisha la Simba, kisha akalikubali baada ya kujadiliana na msaidia wake namba moja)
OKTOBA 29, 2011
Yanga 1-0 Simba
MFUNGAJI: Davies Mwape dakika ya 75
MEI 6, 2012
Simba 5-0 Yanga SC
WAFUNGAJI: 
Emmanuel Okwi (dk 2 na 62), Felix Sunzu (penalti 56), Juma Kaseja (penalti dk 67) na Patrick Mafisango (penalti dk 72)
(Ligi Kuu)
OKTOBA 3, 2013
Simba 1-1 Yanga SC
WAFUNGAJI:
Simba SC: Amri Kiemba dk3
Yanga SC: Said Bahanuzi dk65
(Ligi Kuu)
MEI 18, 2013
Yanga 2-0 Simba SC
WAFUNGAJI: Didier Kavumbangu dk 5 na Hamisi Kiiza dk 62.
OKTOBA 20, 2013
Yanga SC 3-3 Simba SC
WAFUNGAJI:
Yanga SC: Mrisho Ngassa dk15, Hamisi Kiiza dk36 na 45
Simba SC: Betram Mombeki dk54, Joseph Owino dk58 na Gilbert Kaze dk85.
APRILI 19, 2014
Simba SC 1-1 Yanga SC
WAFUNGAJI:
Simba SC; Haroun Chanongo dk76
Yanga SC: Simon Msuva dk86
OKTOBA 18, 2014
Simba SC 0-0 Yanga SC
MACHI 8, 2015
Simba 1-0 Yanga SC
MFUNGAJI; Emmanuel Okwi dk52
SEPTEMBA 26, 2015
Yanga SC 2-0 Simba SC
WAFUNGAJI: Amissi Tambwe dk44 na Malimi Busungu dk79
FEBRUARI 20, 2016
Yanga SC 2-0 Simba SC
WAFUNGAJI:
Donald Ngoma dk39 na Amissi Tambwe dk72
Mashabiki wa Yanga SC wakifurahia ushindi wa 2-0 Septemba 26, mwaka jana. Je, furaha itaendelea na kesho?

Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM

JUMLA ya mechi 13 za watani wa jadi, Simba za Yanga SC za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara zimechezwa tangu mwaka 2010.
Yanga SC wameshinda mechi tano, Simba SC wameshinda mechi tatu, wakati mechi tano zilimalizika kwa sare.
Simba SC waliotikisa nyavu za mahasimu wao mara 15 jumla ndani ya mechi hizo, wanajivunia ushindi mkubwa zaidi ndani ya muongo huu, wakati Yanga waliotikisa nyavu za watani wao hao mara 16, wanajivunia kushinda mechi nyingi tangu 2010.
Ushindi wa mabao 5-0 waliopata Simba SC dhidi ya mahasimu wao hao, Mei 6, mwaka 2012 unabaki kuwa ushindi mkubwa zaidi baina ya miamba hiyo kwa muongo huu hadi sasa.
Siku hiyo, mabao ya Simba SC yalifungwa na Emmanuel Okwi dakika ya pili na 62, Felix Sunzu kwa penalti dakika ya 56, Juma Kaseja kwa penalti dakika ya 67 na Patrick Muteesa Mafisango (sasa marehemu) kwa penalti pia dakika ya 72.
Kipigo hicho kililipa deni la Simba SC la Juni 1, mwaka 1968 walipofungwa 5-0 pia na mahasimu wao hado, mabao ya Maulid Dilunga (sasa marehemu) dakika ya 18 kwa penalti na 43, Salehe Zimbwe dakika ya 54 na 89 na Kitwana Manara dakika ya 86.
Lakini bado kipigo kikali zaidi kihistoria kwa mechi za watani wa jadi kinabaki kuwa cha Julai 19, mwaka 1977, Simba ilipoitandika Yanga SC
6-0, Alhaj Abdallah Athumani Seif ‘King Kibadeni’ akifunga mabao matatu peke yake dakika za 10, 42 na 89, Jumanne Hassan 'Masimenti' mawili dakika ya 60 na 73 na Suleiman Sanga aliyejifunga dk. 20.
Donald Ngoma amelala chini, Hassan Kessy anaondoka na mpira Septemba 26, mwaka jana
Mechi ya kwanza ya mahasimu muongo huu, ilichezwa Aprili 18, mwaka 2010 na Simba ikashinda 4-3, mabao yake yakifungwa na Uhuru Suleiman dakika ya tatu, Mussa Hassan Mgosi dakika ya 53 na 74 na Hillary Echesa dakika ya 90 na ushei, wakati ya watani wao yalifungwa na Athumani Iddi ‘Chuji’ dakika ya 30 na Jerry Tegete dakika ya 69 na 89. 
Mechi iliyofuata Oktoba 16, 2010, bao pekee la Jerson John Tegete dakika ya 70 lilitosha kuipa Yanga SC ushindi wa 1-0 Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza. Mchezo uliofuata timu hizo zilitoka sare ya 1-1 Machi 5 mwaka 2011, Yanga SC wakitangulia kupata bao kwa penalti lililofungwa na Stefano Mwasyika dakika ya 59, baada ya Juma Nyosso kumuangusha Davies Mwape, kabla ya Mussa Mgosi kuisawazishia Simba SC dakika ya73.
Siku hiyo, refa Orden Mbaga alizua tafrani Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kutokana na kwanza kwa kulikataa bao la kusawazisha la Simba, kisha akalikubali baada ya kujadiliana na msaidizi wake namba moja.
Mchezo uliofuata Mzambia, Davies Mwape akafunga bao pekee dakika ya 75 Oktoba 29 mwaka 2011, Yanga SC ikishinda 1-0, kabla ya Simba SC kuwashughulikia ‘kiroho mbaya’ watani wao hao katika mchezo uliofuata Mei 6 mwaka 2012 kwa kuwatandika 5-0.
Oktoba 3, mwaka 2013 timu hizo zilitoka sare ya 1-1, bao la Simba SC likifungwa na Amri Kiemba dakika ya tatu, kabla ya Yanag SC kusawazisha kupitia kwa Said Bahanuzi kwa penalti dakika ya 65.
Amissi Tambwe anaambaa na mpira Septemba 26 Uwanja wa Taifa
Ukawadia mchezo ambao ulimfukuzisha kipa Juma Kaseja Simba SC baada ya Wekundu wa msimbazi kuchapwa 2-0 Mei 18, mwaka 2013, mabao ya Mrundi Didier Kavumbangu dakika ya tano na Mganda Hamisi Kiiza dakika ya 62.
Oktoba 20, mwaka 2013 Yanga SC iliongoza kwa mabao 3-0 hadi mapumziko yaliyofungwa na Mrisho Khalfan Ngassa dakika ya15 na Hamisi Kiiza dakika ya 36 na 45, kabla ya Simba SC kusawazisha yote kipindi cha pili kupitia kwa Betram Mombeki dakika ya 54, Mganda Joseph Owino dakika ya 58 na Mrundi Gilbert Kaze dakika ya 85.
Aprili 19, mwaka 2014 timu hizo zilitoka tena sare ya 1-1, Haroun Chanongo akitangulia kuifungia Simba SC dakika ya kabla ya Simon Msuva kuisawazishia Yanga SC dakika ya 86, wakati Oktoba 18 mwaka 2014 zilitoka 0-0.
Bao la Mganda Emmanuel Arnold Okwi dakika ya 52, lilitosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 Machi 8, mwaka 2015.
Yanga ikashinda mechi zote za msimu uliopita 2-0 Septemba 26, mwaka 2015 mabao ya Amissi Tambwe dakika ya 44 na Malimi Busungu dakika ya 79 na 2-0 tena Februari 20, mwaka huu, mabao ya Donald Ngoma dakika ya 39 na Tambwe dakika ya 72.
Hiyo ilikuwa mechi ya 13 ya watani wa jadi kufanyika tangu mwaka 2010 katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga SC wakishinda kwa mara ya tano dhidi ya mara tatu za Simba SC. 
Sasa timu hizo zinatarajiwa kukutana tena Jumamosi ya kesho katika mfululizo wa Ligi Kuu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Simba SC wakitokea kambini mjini Morogoro, wakati Yanga SC wanatokea kisiwani Pemba. Nani atainua shangwe za mashabiki wake?


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2dwbA6y best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MUONGO HUU SIMBA KABURUZWA NA YANGA HADI AIBU!. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/09/muongo-huu-simba-kaburuzwa-na-yanga.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 02.15
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • Vaal Thursday 29 September 2016 Best Bets
    Winning Form brings you their best tips for Vaal's racing on Thursday 29th of September 2016. Comments, images and betting and are pro...
Copyright Viral Sports: MUONGO HUU SIMBA KABURUZWA NA YANGA HADI AIBU!