Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Kelvin Nashon Naftal (kushoto) na Zuberi Rashid Ada katika mazoezi ya timu hiyo jana kwenye Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbukumbu ya Kardinali Emile Biayenda wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Brazzaville, Kongo. Serengeti Boys inajiandaa na mechi ya marudiano hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya Fainali za U-17 Afrika mwakani Madagascar, baada ya kushinda 3-2 mchezo wa kwanza Dar es Salaam, Mchezo wa marudiano utafanyika Jumapili Uwanja wa Alphonse Massamba-Débat, Makutano ya Barabara za Nkolo na Boko, mjini Brazzaville
Wachezaji wa Serengeti Boys wakijifua jana Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbukumbu ya Kardinali Emile Biayenda wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Brazzaville, Jamhuri ya Congo
Kelvin Nashot Naftal (kushoto) na Zuberi Rashid Ada wakiwa mazoezini jana
Purukushani langoni ambako Dickson Job aliye hewani akikoa hatari langoni kwake
Kocha wa Makipa wa Serengeti Boys, Muharami Mohammed maarufu kwa jina la Shilton (wa pili kushoto) akiwanoa vijana wake, Kelvin Kayego (kushoto), Ramadhani Kabwili (wa tatu kushoto) na Samwel Brazio kwenye Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbukumbu ya Kardinali Emile Biayenda wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Brazzaville, Jamhuri ya Congo.
Madaktari wa Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 - Serengeti Boys, Dk. Sheicky Mngazija (kushoto) na Gilbert Kigadye wakifuatilia kwa karibu mazoezi ya timu kwenye Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbukumbu ya Kardinali Emile Biayenda wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Brazzaville, Jamhuri ya Congo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2dIZcyP
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SERENGETI BOYS MAZOEZINI JANA KONGO. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/09/serengeti-boys-mazoezini-jana-kongo.html. Terimakasih atas perhatiannya.