Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
AZAM FC imefuta mkosi leo baada ya kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Shukrani kwake Nahodha wa timu, John Raphael Bocco ‘Adebayor’ aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 57 kwa mkwaju wa penalti kufuatia beki wa Ruvu kuunawa mpira kwenye boksi.
Huo unakuwa ushindi wa kwanza kwa Azam FC baada ya mechi sita mfululizo bila ushindi.
Mechi sita zilizopita Azam ililazimishwa sare ya 1-1 Jumamosi na Mtibwa Sugar, Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam, ilifungwa 1-0 na Simba Septemba 17, 2-1 na Ndanda FC mjini Mtwara Septemba 24, sare ya 2-2 na Ruvu Shooting Chamazi Oktoba 2, kabla ya kufungwa 1-0 na Stand United mjini Shinyanga Oktoba 12 na sare ya 0-0 na Yanga Oktoba 16 Dar es Salaam.
Kikosi cha Azam FC kilikuwa: Aishi Manula, Erasto Nyoni, Daniel Amoah, Agrey Moris, Ramadhani Singano ‘Messi’/Ya Thomas Renaldo dk80, Himid Mao, Gadiel Maiko, John Bocco, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Bruce Kangwa/Khamis Mcha ‘Vialli’dk69 na Francisco Zekumbawira. JKT Ruvu: Said Kipao, Omary Kindamba, Salim Gilla, Hassan Dilunga, Nurdin Mohammed, Rahim Juma, Ismail Amour, Kassim Kisengo/Samuel Kamuntu dk 66, Naftal Nashon/Khamis Thabit, Atupele Green na Pera Mavuo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2euJc28
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang AZAM YAFUTA MKOSI, YAICHAPA 1-0 JKT RUVU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/10/azam-yafuta-mkosi-yaichapa-1-0-jkt-ruvu.html. Terimakasih atas perhatiannya.