Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta leo amecheza dakika zote 90 na ushei timu yake, KRC Genk ikishinda 1-0 dhidi ya mahasimu wao, Sint-Truiden katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza A Ubelgiji, Uwanja wa Laminus Arena.
Mechi hiyo ilikaribia kumalizika kwa sare ya 0-0 kama si mshambuliaji Mgiriki, Nikolaos Karelis kufunga bao pekee la ushindi dakika ya 88.
Samatta (kushoto) akipiga mpira mbele ya mchezaji wa Sint-Truiden Uwanja wa Laminus Arena leo
Huo unakuwa mchezo wa 29 kwa Samatta tangu amejiunga na Genk Januari mwaka huu kutoka TP Mazembe ya DRC, 18 msimu uliopita na 10 msimu huu, akifunga mabao nane, matatu msimu huu na matano msimu uliopita.
Katika mechi hizo, ni 15 tu ndiyo alianza, 10 msimu uliopita na nne msimu huu, wakati 13 alitokea benchi nane msimu uliopita na 10 msimu huu – na mechi tisa hakumaliza akitolewa, sita msimu uliopita na tatu msimu huu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2dzEaDj
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms