• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ▼  Januari (479)
      • FARID MUSSA AKINUKISHA HISPANIA TENERIFE IKITOA SA...
      • ULIMWENGU ATOA PASI YA BAO, TIMU YAKE YATOA SARE H...
      • SAMATTA AUMIA DAKIKA YA 23, GENK YACHAPWA NYUMBANI
      • WOTE WALIOTOKA NA KUINGIA ENGLAND DIRISHA DOGO HAD...
      • ARSENAL YACHABANGWA 2-1 NA WATFORD PALE PALE EMIRATES
      • COSTA AKOSA PENALTI LIVERPOOL YAPATA SARE KWA CHELSEA
      • JOSHUA NA WLADIMIR KLITSCHKO ULINGONI APRILI 29 WE...
      • EPL: Manchester United v Hull City Preview
      • ADEBAYOR ATUA LIGI KUU UTURUKI, ASAINI BASAKSEHIR
      • SIMBA NAO WAKATAA KUCHEZA NA MAMELODI KESHO
      • EPL: Stoke City v Everton Preview
      • EPL: West Ham v Manchester City Preview
      • HSBC Sevens World Series: Sydney Preview
      • SIMBA YAMUACHIA MAUMIVU MKATA UMEME WA AZAM
      • WACHEZAJI CAMEROON WAGOMEA MAZOEZI SABABU YA POSHO
      • MKWASA KATIBU MKUU MPYA YANGA
      • South Africa vs Sri Lanka: Second ODI Preview
      • Scottsville Wednesday 1 February 2017 Best Bet
      • CHIRWA: SHUGHULI NDIYO IMEANZA SASA
      • SIMBA SC KUIFUATA MAJI MAJI ALHAMISI NA HASIRA ZOTE
      • MBEYA CITY NAO WAMLILIA DAVID BURHAN
      • YANGA SC WAKATAA KUCHEZA NA MAMELODI SUNDOWNS
      • Apologies for Sun Met 2017 Issues
      • MALARIA YAMKWAMISHA BOSSOU TOGO
      • SERIKALI YAUNGA MKONO PROGRAMU YA TFF OLIMPIKI 2020
      • TFF YAOMBOLEZA MSIBA WA KIPA WA KAGEA SUGAR
      • Turffontein Tuesday 31 January 2017 Best Bets
      • MBWANA MATUMLA KUREJEA ULINGONI MWEZI UJAO
      • Varsity Cup: Round 1 Preview
      • AFCON 2017 Semi-Final: Burkina Faso v Egypt Preview
      • KIPA BORA LIGI KUU AFARIKI DUNIA, ALIKUWA AMELAZWA...
      • YANGA 2-0 MWADUI
      • REAL MADRID 3-0 REAL SOCIEDAD
      • MAN UNITED 4-0 WIGAN
      • MISRI WATINGA NUSU FAINALI AFCON, WAILAZA 1-0 MOROCCO
      • REAL MADRID YAITWANGA SOCIEDAD 3-0 LA LIGA
      • HATIMAYE PAYET AREJEA MARSEILLE
      • YANGA NA MWADUI KATIKA PICHA JANA TAIFA
      • WATOTO WA PELE WAIPELEKA GHANA NUSU FAINALI AFCON
      • LIVERPOOL YAMKODIA NDEGE SADIO MANE AWAHI MECHI NA...
      • MAN UNITED YAUA 4-0 KOMBE LA FA ENGLAND
      • BARCELONA YABANWA, SARE 1-1 NA REAL BETIS
      • CHIRWA AIPANDISHA KILELENI YANGA, SIMBA WANAISOMA ...
      • LWANDAMINA AWAANZISHA YONDAN, CANNAVARO, ZULU DHID...
      • TIMU YA SAMATTA YACHEZEA KICHAPO UBELGIJI
      • CRYSTAL PALACE 0-3 MAN CITY
      • LIVERPOOL 1-2 WOLVES
      • CHELSEA 4-0 BRENTFORD
      • SOUTHAMPTON 0-5 AARSENAL
      • BOCCO AFICHUA SIRI YA KUWAFUNGA SIMBA SC
      • Flamingo Park Monday 30 January 2017 Best Bets
      • EPL: Week 23 Preview
      • EPL: Liverpool v Chelsea Preview
      • OMOG ASITOLEWE KAFARA SIMBA SC
      • HATA SIMBA HII YA 2004 HAIKUWA YA MCHEZO
      • AZAM NA SIMBA KATIKA PICHA JANA
      • WENGER AFUNGIWA MECHI NNE ENGLAND
      • MANE AKOSA PENALTI, CAMEROON YAING'OA SENEGAL KWA ...
      • ARSENAL YAFANYA MAUWAJI KOMBE LA FA, YAWAPIGA 5-0 ...
      • MAN CITY YAMPA MTU 3-0 NA KWENDA MBELE KOMBE LA FA
      • CHELSEA YAUA 4-0 KOMBE LA FA KUSONGA MBELE
      • SERENA AMTWANGA MDOGO WAKE NA KUINUA NDOO YA AUSTR...
      • 'KAPTENI' MKUDE ALIVYOUMIZWA NA KIPIGO CHA LEO
      • LIVERPOOL YACHAPWA 2-1 NA KUTOLEWA KOMBE LA FA
      • AZAM YAICHAPA SIMBA TENA 1-0, SAFARI HII NI BOCCO
      • Sun Met 2017 Winner - WHISKY BARON
      • Scottsville Sunday 29 January 2017 Best Bet
      • BOSSOU AREJEA KUONGEZA NGUVU YANGA
      • ROBO FAINALI AFCON LEO NI PATASHIKA SENEGAL NA CAM...
      • NI AZAM TENA, AU SIMBA KUNG'ARA LEO TAIFA?
      • ASAMOAH GYAN FITI KUWAVAA DRC JUMAPILI AFCON
      • MAMELODI KUTUA DAR JUMATTAU KUCHEZA NA SIMBA,YANGA
      • NI BARCELONA NA ATLETICO MADRID NUSU FAINALI KOMBE...
      • ONOKA KUCHEZESHA SIMBA NA AZAM KESHO, MWANAMKE KUW...
      • Turffontein Saturday 28 January 2017 Best Bets
      • TFF YAMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI KUUFUNGULIA UWANJ...
      • Writers' Weekend Treble
      • Kenilworth Saturday 28 January 2017 Best Bets
      • Greyville Saturday 28 January 2017 Best Bets
      • Bonus on Soccer Multiples
      • SIMBA NA AZAM KUPIGWA UWANJA WA TAIFA KESHO
      • R3 Million - New Soccer Payout Limit
      • ULIMWENGU ALIVYOISHUHUDIA BARCA IKIUA 5-2 JANA CAM...
      • AFCON 2017 Quarter-Finals Preview
      • WAZUNGU WAMUOMBEA ITC ULIMWENGU AANZE KAZI SWEDEN
      • SIMBA YAMTOA KWA MKOPO BLAGNON OMAN CLUB
      • HULL CITY 2-1 MAN UNITED
      • BARCELONA 5-2 REAL SOCIEDAD
      • MOURINHO AFANYE 'BIRTHDAY' YAKE KWENYE BASI LA TIM...
      • SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA WAMPA MTU 5-2 KOMBE LA M...
      • MAN UNITED YAPIGWA, LAKINI YAENDA FAINALI KOMBE LA...
      • ZULU YUPO FITI KUICHEZEA YANGA DHIDI YA MWADUI
      • PSG YAIPOKONYA TONGE MDOMONI MAN UNITED
      • French Top 14: Toulon v La Rochelle and Lyon v Rac...
      • South Africa vs Sri Lanka: First ODI Preview
      • KIKOSI CHA OLIMPIKI KUINGIA KAMBINI JUMAPILI
      • KOCHA MPYA AZAM AJA NA MBINU MPYA ZA KUIUA SIMBA
      • SIMBA YAPETA RUFAA DHIDI YA LUFUNGA
      • Legal Eagle - Sun Met 2017
      • HSBC World Sevens Series: Wellington Preview
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » OMOG ASITOLEWE KAFARA SIMBA SC

OMOG ASITOLEWE KAFARA SIMBA SC

SIMBA SC jana imefungwa 1-0 na Azam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Shujaa wa Azam jana alikuwa Nahodha wake, John Raphael Bocco aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 70 baada ya makosa ya beki, Method Mwanjali kutaka ‘kuuremba’ mpira kwenye eneo la hatari.  
Bocco aliupitia mpira miguuni mwa Mwanjali na kwenda kumfunga kipa Mghana, Daniel Agyei. Kunzia hapo, Uwanja wa Taifa ukawa kimya. 
Hicho kinakuwa kipigo cha pili mfululizo ndani ya mwezi mmoja Simba wanapewa na Azam, baada ya Januari 13 kufungwa pia 1-0 katika fainali ya Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar, bao pekee la Himid Mao.
Baada ya mchezo huo lawama zimeanza kuelekezwa kwa kocha Mcameroon, Joseph Marius Omog kwamba yeye ndiye ameiponza timu kufungwa.
Na mbaya zaidi lawama zinatoka kwa ‘watu wazito’ ndani ya Simba, maana yake hatua zinaweza kuchukuliwa.
Na ukizingatia rekodi za Simba kufukuza makocha baada ya muda mfupi kwa misimu ya karibuni kwa namna yoyote huwezi kupuuza vuguvugu hili.
Ni kwamba Omog amekalia kuti kavu kwa sasa Simba, wenyewe wakiamini walikosea kumchukua kocha huyo wa zamani wa Azam FC.
Hakuna kingine kinachomuweka matatani kwa sasa Omog zaidi ya matokeo. 
Timu haikuchukua Kombe la Mapinduzi ikifungwa na Azam 1-0, ikaenda kulazimishwa sare ya 0-0 na Mtibwa Sugar Uwanja mgumu wa Jamhuri, Morogoro, ikapata ushindi mwembamba dhidi ya Polisi Dar kwenye Kombe la Shirikisho Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) kabla ya kipigo cha juzi.
Mwanzoni tu mwa msimu wakati wanamleta Omog, Simba walijinasibu kwamba msimu huu watachukua ubingwa baada ya kuukosa tangu mwaka 2012.
Simba walitumia vizuri fedha za mauzo ya mshambuliaji Mganda Emmanuel Okwi dola za Kimarekani 300,000 kutoka Etoile du Sahel ya Tunisia kwa kusajili wachezaji wengi wapya wa kiwango cha juu.
Iliibomoa himaya ya Mtibwa Sugar na kuwachukua viungo Muzamil Yassin, Mohammed ‘Mo’ Ibrahim na Shiza Kichuya – ikawasajili pia Hamad Juma, Jamal Mnyate, Emmanuel Semwanza na Malika Ndeule kwa upande wa wazawa. Ilimsajili pia mshambuliaji Ame Ali kwa mkopo kutoka Azam, ambaye baada ya nusu msimu ikamtema sasa hivi yupo Kagera Sugar.
Kwa wageni iliwasajili mabeki Janvier Bokungu kutoka DRC, Mwanjali, kiungo Mussa Ndusha wa DRC, washambuliaji Laudit Mavugo wa Burundi na Frederick Blagnon wa Ivory Coast.
Simba ikawa na mzunguko mzuri wa kwanza wa Ligi Kuu ikimalizia kileleni, lakini wakati wa dirisha dogo ikaboresha kikosi.
Ikawatema kipa Muivory Coast, Vincent Angban na kiungo Mkongo Ndusha upande wa wachezaji wa kigeni na kuwasajili Waghana kipa Agyei na kiungo James Kotei pamoja na wazawa, washambuliaji Pastory Athanas kutoka Stand United na Juma Luizio kutoka Zesco United kwa mkopo.
Kwa upande wa wazawa ikamtema Ndeule na kumtoa kwa mkopo Semwanza kwenda Maji Maji ya Songea.
Baada ya kurejea kutoka kwenye Kombe la Mapinduzi, Simba ikamtoa kwa mkopo Blagnon kwenda Oman Club.
Huyo ni mchezaji ghali zaidi katika kikosi cha Simba msimu huu, akisajiliwa kwa dau la dola za Kimarekani 50,000 (zaidi ya Sh. Milioni 100) na kulipwa mshahara wa dola 3,000 (zaidi ya Sh. Milioni 6).
Ni mshambuliaji ambaye Simba iliweka matumaini makubwa sana kwake, sasa ameondoka baada ya kushindwa kuonyesha thamani yake klabuni.
Hayo mambo yanatokea hadi Ulaya, anasajiliwa mchezaji kwa matumaini makubwa, lakini anashindwa kutimiza ndoto – si ajabu kwa Simba.
Mshambuliaji mwingine tegemeo aliyesajiliwa Simba msimu huu, Laudit Mavugo kwa muda mwingi amekuwa akitokea benchi.
Na mshambuliaji aliyemaliza msimu uliopita akiwa tegemeo la timu, Ibrahim Hajib msimu huu matumizi yake yamepungua uwanjani.
Amekuwa akitokea benchi zaidi na nafasi yake imezidi kupungua baada ya ujio wa Luizio na Athanas.
Kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba mipango ya Simba imefeli. Blagnon hakukidhi mahitaji na bahati mbaya hata Shiza Kichuya aliyekuwa tegemeo la mabao mzunguko wa kwanza, amepoteza makali.
Jana Kichuya alianzishiwa benchi na alipoingia kipindi cha pili akaenda kupiga krosi moja nzuri iliyounganishwa kwa kichwa na kuokolewa kwa ustadi mkubwa na kipa wa Azam, Aishi Manula.
Kuanza kumsukumia lawama Omog kwa sasa si sahihi, kwa sababu kinachoonekana kwa mapana marefu ni kufeli kwa mipango ya klabu.
Imeonekana Omog anapenda mfumo wa kutumia mshambuliaji mmoja na viungo wengi – hivyo kama anakosa mtu aina ya Blagnon wazi atakwama sehemu katika mipango yake.
Kwa muda mrefu Simba imekuwa ikiona suluhisho ni kufukuza makocha, lakini nadhani wakati umefika sasa watafute suluhisho mbadala.
Hata Manchester United ya England baada ya kufukuza makocha mfululizo na kila iliyemleta akawa na mwanzo mbaya, akiwemo wa sasa Jose Mourinho, mwishowe imeamua kutulia na Mreno huyo na sasa mambo yanaanza kunyooka taratibu.  
Inawezekana kweli Omog akawa tatizo, lakini vyema Simba ikajipa muda hadi mwisho wa msimu kabla ya kuchukua hatua yoyote.


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2jidgCR best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang OMOG ASITOLEWE KAFARA SIMBA SC. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/01/omog-asitolewe-kafara-simba-sc.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 22.59
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • Vaal Thursday 29 September 2016 Best Bets
    Winning Form brings you their best tips for Vaal's racing on Thursday 29th of September 2016. Comments, images and betting and are pro...
Copyright Viral Sports: OMOG ASITOLEWE KAFARA SIMBA SC