Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Mbeya City fc imepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha aliyekuwa mchezaji wake David Burhan kilichotokea usiku kuamkia leo kwenye Hospital ya Bugando jijini Mwanza.
Akizungumza mapema leo Mwenyekiti wa City Mussa Mapunda amesema kuwa, ameshtushwa na taarifa ya kifo cha mchezaji huyo aliyekuwa nguzo kubwa katika mafanikio iliyopata mbeya City tangu ilipanda daraja na kucheza ligi kuu ya Vodacom.
Binafsi nimeshtushwa na taarifa hizo,Burhan alikuwa sehemu ya mafanikio ya kikosi chetu tangu alipojiunga nasi akitokea Prisons, baada ya kuhamia klabu nyingine tulikuwa tukiwasiliana nae mara kwa mara na kutoa mchango wake pale alipoona pana umuhimu wa kufanya hivyo, hatuna namna nyingine ni kumshukuu Mungu kwa sababu yote ni kazi yake na tunamuomba ampumzishe kwa amani ameni.
Kwa niaba ya klabu naomba kutoa salamu za pole kwa familia ndugu,jamaa pamoja na wadua wote wa soka, kwa sasa tunaendelea kufanya mawasilino na wana familia ili kujua taratibu zote na klabu itashiriki mazishi ya mpendwa wetu.
Kwa upande wao wachezaji Hassan Mwasapili na John Kabanda ambao walicheza pamoja na Marehemu David Burhan kwenye kikosi cha City wameeleza kusikitishwa kwao na taarifa za kifo hicho, huku wakikumbuka namna walivyokuwa wakiishi nae wakati wa uhai wake.
Nimesikitishwa, ni mtu ambaye alikuwa akiniongoza kwenye mambo mengi, alinishauri kuendelea kupambana ili kutimiza malengo niliyonayo, daima nitamkumbuka- Hassan Mwasapili.
Sina la kusema,alikuwa ni kama ndugu yangu kwa namna nilivyoishi nae,ni kazi ya Mungu haina makosa R.I.P David Burhan – John Kabanda.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2jOkLNU
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MBEYA CITY NAO WAMLILIA DAVID BURHAN. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/01/mbeya-city-nao-wamlilia-david-burhan.html. Terimakasih atas perhatiannya.