WACHEZAJI wa Cameroon jana waligoma kufanya mazoezi nchini Gabon kwa sababu ya posho.
Simba Wasiofungika wanadai posho zao baada ya kuiwezesha timu kufika Nusu Fainali, wakiitoa timu ngumu Senegal kwa penalti 5-4 katika Robo Fainali.
Taarifa kutoka kwenye kambi ya timu hiyo imesema kwamba vijana wa Hugo Broos wanadai CFA faranga Milioni 12 kwa ajili ya Robo Fainali na Nusu Fainali.
Serikali iliwaahidi wachezaji hao CFA faranga Milioni 10 kila mchezaji baada ya awali kukataa pendekezo la CFA faranga Milioni 4.
Nahodha Benjamin Moukandjo na wachezaji wenzake walikataa fedha hizo hadi wakapandishiwa dau. Wachezaji wameomba kukutana na Serikali ili walipwe fedha zao kamili kabla hawajaingia kucheza na Ghana Alhamisi.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2kmeH2f
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang WACHEZAJI CAMEROON WAGOMEA MAZOEZI SABABU YA POSHO. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/01/wachezaji-cameroon-wagomea-mazoezi.html. Terimakasih atas perhatiannya.