TIMU ya Cameroon usiku wa jana imeifunga Senegal kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 0-0 na kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2017 nchini Gabon.
Katika mchezo huo mkali wa Robo Fainali uliopigwa Uwanja wa Franceville, mji mkuu wa Gabon, Franceville Senegal walitawala mchezo mwanzoni na kuwafanya Cameroon wacheze kwa kujihami zaidi.
Lakini mambo yakabadilika na baadaye Simba wa Teranga wakajikuta wanapunguza kasi yao na kuwap mwanya Simba Wasiofungika.
Sadio Mane alikosa penalti ya mwisho jana Cameroon ikiitoa Senegal kwa penalti 5-4
Mshambuliaji wa Liverpool, Sadio Mane ambaye alikuwa shujaa wa Senegal wakati wote kwenye mashindano jana alikosa penalti ya mwisho baada ya mkwaju wake kuokolewa na kipa Ondoa na Cameroon ikashinda kwa penalti 5-4.
Waliofunga penalti za Cameroon ni Moukandjo, Oyongo, Teikeu, Zoua na Aboubakar wakati za Senegal zilifungwa na Koulibaly, Kara, Sow na Saivet.
Kikosi cha Senegal kilikuwa: Diallo, Mbodji, Koulibaly, Mbengue/Ciss dk85, Gassama, Gueye, Kouyate/Ndiaye dk110, Saivet, Diouf/Sow dk65, Mane, Balde.
Cameroon: Ondoa, Fai, Teikeu, Ngadeu, Oyongo, Siani, Djoum/Mandjeck dk102, Moukandjo, Toko Ekambi/Zoua dk47, Tambe/Aboubakar dk102 na Bassogog.
Katika Robo Fainali ya kwanza, mabao mawili ya Aristide Bance na Prejuce Nakoulma kipindi cha pili yalitosha kuipa Burkina Faso ushindi wa 2-0 dhidi ya Tunisia jana Uwanja wa d'Angondjé mjini Libreville na kwenda Nuu Fainali.
Robo Fainali za mwisho zinachezwa leo kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Ghana Uwanja wa d'Oyem Saa 1:00 usiku na Misri na Morocco Uwanja wa Port Gentil Saa 4:00 usiku.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2jDjrzy
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MANE AKOSA PENALTI, CAMEROON YAING'OA SENEGAL KWA MATUTA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/01/mane-akosa-penalti-cameroon-yaingoa.html. Terimakasih atas perhatiannya.