Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SIMBA SC imeifuata Yanga hatua ya 16 Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Dar Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam leo.
Ahsante kwa wafungaji wa mabao hayo, mshambuliaji Pastory Athanas kipindi cha kwanza na Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ kipindi cha pili.
Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kushoto) akipongezwa na wenzake baada ya kufunga bao la pili
Pastory Athanas akikimbi kushangilia baada ya kufunga bao la kwanza
Pastory Athanas (kulia) akimtoka beki wa Polisi
Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib akimtoka beki wa Polisi
Kikosi cha Simba kilikuwa; Daniel Agyei, Janvier Bokungu, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Abdi Banda, Method Mwanjali, Shiza Kichuya, Muzamil Yassin, Ibrahim Hajib, Pastory Athanas na Mwinyi Kazimoto.
Polisi Dar; Kondo Salum, Musiba Suleiman, Abbas Kapombe, Thabit Amnyishe, Godfrey Mpewembwe, Vincent Thedeo, Evance Wilfred, Henerico Sylavanus, Paschal Theodor, Hamad Kambangwa na Nassor Habibu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2kgECZQ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms