• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (244)
    • ►  September (1)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ▼  Januari (479)
      • FARID MUSSA AKINUKISHA HISPANIA TENERIFE IKITOA SA...
      • ULIMWENGU ATOA PASI YA BAO, TIMU YAKE YATOA SARE H...
      • SAMATTA AUMIA DAKIKA YA 23, GENK YACHAPWA NYUMBANI
      • WOTE WALIOTOKA NA KUINGIA ENGLAND DIRISHA DOGO HAD...
      • ARSENAL YACHABANGWA 2-1 NA WATFORD PALE PALE EMIRATES
      • COSTA AKOSA PENALTI LIVERPOOL YAPATA SARE KWA CHELSEA
      • JOSHUA NA WLADIMIR KLITSCHKO ULINGONI APRILI 29 WE...
      • EPL: Manchester United v Hull City Preview
      • ADEBAYOR ATUA LIGI KUU UTURUKI, ASAINI BASAKSEHIR
      • SIMBA NAO WAKATAA KUCHEZA NA MAMELODI KESHO
      • EPL: Stoke City v Everton Preview
      • EPL: West Ham v Manchester City Preview
      • HSBC Sevens World Series: Sydney Preview
      • SIMBA YAMUACHIA MAUMIVU MKATA UMEME WA AZAM
      • WACHEZAJI CAMEROON WAGOMEA MAZOEZI SABABU YA POSHO
      • MKWASA KATIBU MKUU MPYA YANGA
      • South Africa vs Sri Lanka: Second ODI Preview
      • Scottsville Wednesday 1 February 2017 Best Bet
      • CHIRWA: SHUGHULI NDIYO IMEANZA SASA
      • SIMBA SC KUIFUATA MAJI MAJI ALHAMISI NA HASIRA ZOTE
      • MBEYA CITY NAO WAMLILIA DAVID BURHAN
      • YANGA SC WAKATAA KUCHEZA NA MAMELODI SUNDOWNS
      • Apologies for Sun Met 2017 Issues
      • MALARIA YAMKWAMISHA BOSSOU TOGO
      • SERIKALI YAUNGA MKONO PROGRAMU YA TFF OLIMPIKI 2020
      • TFF YAOMBOLEZA MSIBA WA KIPA WA KAGEA SUGAR
      • Turffontein Tuesday 31 January 2017 Best Bets
      • MBWANA MATUMLA KUREJEA ULINGONI MWEZI UJAO
      • Varsity Cup: Round 1 Preview
      • AFCON 2017 Semi-Final: Burkina Faso v Egypt Preview
      • KIPA BORA LIGI KUU AFARIKI DUNIA, ALIKUWA AMELAZWA...
      • YANGA 2-0 MWADUI
      • REAL MADRID 3-0 REAL SOCIEDAD
      • MAN UNITED 4-0 WIGAN
      • MISRI WATINGA NUSU FAINALI AFCON, WAILAZA 1-0 MOROCCO
      • REAL MADRID YAITWANGA SOCIEDAD 3-0 LA LIGA
      • HATIMAYE PAYET AREJEA MARSEILLE
      • YANGA NA MWADUI KATIKA PICHA JANA TAIFA
      • WATOTO WA PELE WAIPELEKA GHANA NUSU FAINALI AFCON
      • LIVERPOOL YAMKODIA NDEGE SADIO MANE AWAHI MECHI NA...
      • MAN UNITED YAUA 4-0 KOMBE LA FA ENGLAND
      • BARCELONA YABANWA, SARE 1-1 NA REAL BETIS
      • CHIRWA AIPANDISHA KILELENI YANGA, SIMBA WANAISOMA ...
      • LWANDAMINA AWAANZISHA YONDAN, CANNAVARO, ZULU DHID...
      • TIMU YA SAMATTA YACHEZEA KICHAPO UBELGIJI
      • CRYSTAL PALACE 0-3 MAN CITY
      • LIVERPOOL 1-2 WOLVES
      • CHELSEA 4-0 BRENTFORD
      • SOUTHAMPTON 0-5 AARSENAL
      • BOCCO AFICHUA SIRI YA KUWAFUNGA SIMBA SC
      • Flamingo Park Monday 30 January 2017 Best Bets
      • EPL: Week 23 Preview
      • EPL: Liverpool v Chelsea Preview
      • OMOG ASITOLEWE KAFARA SIMBA SC
      • HATA SIMBA HII YA 2004 HAIKUWA YA MCHEZO
      • AZAM NA SIMBA KATIKA PICHA JANA
      • WENGER AFUNGIWA MECHI NNE ENGLAND
      • MANE AKOSA PENALTI, CAMEROON YAING'OA SENEGAL KWA ...
      • ARSENAL YAFANYA MAUWAJI KOMBE LA FA, YAWAPIGA 5-0 ...
      • MAN CITY YAMPA MTU 3-0 NA KWENDA MBELE KOMBE LA FA
      • CHELSEA YAUA 4-0 KOMBE LA FA KUSONGA MBELE
      • SERENA AMTWANGA MDOGO WAKE NA KUINUA NDOO YA AUSTR...
      • 'KAPTENI' MKUDE ALIVYOUMIZWA NA KIPIGO CHA LEO
      • LIVERPOOL YACHAPWA 2-1 NA KUTOLEWA KOMBE LA FA
      • AZAM YAICHAPA SIMBA TENA 1-0, SAFARI HII NI BOCCO
      • Sun Met 2017 Winner - WHISKY BARON
      • Scottsville Sunday 29 January 2017 Best Bet
      • BOSSOU AREJEA KUONGEZA NGUVU YANGA
      • ROBO FAINALI AFCON LEO NI PATASHIKA SENEGAL NA CAM...
      • NI AZAM TENA, AU SIMBA KUNG'ARA LEO TAIFA?
      • ASAMOAH GYAN FITI KUWAVAA DRC JUMAPILI AFCON
      • MAMELODI KUTUA DAR JUMATTAU KUCHEZA NA SIMBA,YANGA
      • NI BARCELONA NA ATLETICO MADRID NUSU FAINALI KOMBE...
      • ONOKA KUCHEZESHA SIMBA NA AZAM KESHO, MWANAMKE KUW...
      • Turffontein Saturday 28 January 2017 Best Bets
      • TFF YAMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI KUUFUNGULIA UWANJ...
      • Writers' Weekend Treble
      • Kenilworth Saturday 28 January 2017 Best Bets
      • Greyville Saturday 28 January 2017 Best Bets
      • Bonus on Soccer Multiples
      • SIMBA NA AZAM KUPIGWA UWANJA WA TAIFA KESHO
      • R3 Million - New Soccer Payout Limit
      • ULIMWENGU ALIVYOISHUHUDIA BARCA IKIUA 5-2 JANA CAM...
      • AFCON 2017 Quarter-Finals Preview
      • WAZUNGU WAMUOMBEA ITC ULIMWENGU AANZE KAZI SWEDEN
      • SIMBA YAMTOA KWA MKOPO BLAGNON OMAN CLUB
      • HULL CITY 2-1 MAN UNITED
      • BARCELONA 5-2 REAL SOCIEDAD
      • MOURINHO AFANYE 'BIRTHDAY' YAKE KWENYE BASI LA TIM...
      • SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA WAMPA MTU 5-2 KOMBE LA M...
      • MAN UNITED YAPIGWA, LAKINI YAENDA FAINALI KOMBE LA...
      • ZULU YUPO FITI KUICHEZEA YANGA DHIDI YA MWADUI
      • PSG YAIPOKONYA TONGE MDOMONI MAN UNITED
      • French Top 14: Toulon v La Rochelle and Lyon v Rac...
      • South Africa vs Sri Lanka: First ODI Preview
      • KIKOSI CHA OLIMPIKI KUINGIA KAMBINI JUMAPILI
      • KOCHA MPYA AZAM AJA NA MBINU MPYA ZA KUIUA SIMBA
      • SIMBA YAPETA RUFAA DHIDI YA LUFUNGA
      • Legal Eagle - Sun Met 2017
      • HSBC World Sevens Series: Wellington Preview
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » SIMBA KWA HILI LA LUFUNGA HAWACHOMOKI

SIMBA KWA HILI LA LUFUNGA HAWACHOMOKI

Na Yossima Sitta Jr., DAR ES SALAAM
KWA sasa mitandao ya kijamii iko busy kuulizia kanuni na uhalali wa Novart Lufunga kuwepo kwenye mchezo wa Jumamosi  dhidi ya Polisi Dar kwenye kombe la Azam Sports federation Cup. Mchezo ulimalizika kwa Simba Sc kushida kwa magoli mawili kwa bila na kufanikiwa kutinga  hatua ya Sita (16 bora ) 
-Baada ya kuona  mitandao iko busy na mimi nikaona niingie chimbo kidogo kufatilia na kuangalia kanuni na data zinasemaje kuhusu uwepo wa Novart Lufunga kwenye dhidi ya Polisi Dar . 

Novaty Lufunga (kushoto) anadaiwa kuhusika katika mechi ya Kombe la TFF akiwa anatumikia adhabu ya kadi

Kanuni 
a) Mchezaji ambaye unakuwa na kadi tatu za njao atakosa mchezo mmoja unaofuata
b)Mchezaji ambaye amepata kadi nyekundu ya mojaa kwa mojaa atakosa michezo miwili inayofuata
c)Mchezaji ambaye amepati kadi ya pili ya njano na kuwa nyekundu ndani ya mechi mojaa  atakosa mechi mojaa inayofuata . 

Data 
a)Novart Lufunga alicheza mechi ya April 11 dhidi ya Coastal Union kwenye ASFC mechi ya hatua ya robo fainali mchezo uliofanyika uwanja wa Taifa na na Coastal Union kushida GOLI mojaa kwa bila na  kutinga hatua ya nusu Fainal 
b)Novart Lufunga Alimchezea madhambi Ally Shiboli wa Coastal ndani ya 18 na kusababisha penati ambapo mwamuzi wa mchezo huo alimpa kadi ya pili ya njano na kuwa nyekundu 
c)Novart Lufunga alikuwepo kwenye kikosi cha Simba  April 17 cha ligi Kuu VPL dhidi ya Mwadui FC (kikosi check picha )
d)Novart Lufunga alikuwepo kwenye wachezaji wa akiba mechi ya Jumamosi dhidi ya Polisi dar kwenye mchezo wa ASFC Ukiwa mchezo uliofuata wa ASFC baada wa ule dhidi ya Coastal Union (kikosi check picha ) 

Sheria za TFF 
-Sheria za Soka za TFF zinasema kama timu ikimchezesha mchezaji Mwenye kadi tatu za njano au nyekundu itanyang'anywa ushidi na kupewa timu waliocheza nayo pamoja na magoli matatu. 
Mfano . Timu ya Azam FC ilinyang'anywa ushidi na point tatu na kupewa ya Mbeya city baada ya kujiridhisha walimchezesha akiwa na kadi tatu za njano.

Swali la kujiuliza 
? Je  TFF wanasemeje kuhusu kuunganisha michuano hii ya ASFC na Ligi Kuu ? 
Yaani Mchezaji alipata kadi nyekundu kwenye ligi Kuu anaweza akaitumia kwenye kombe la ASFC kama wanavyofanya Uingereza maana makombe yote yanajumuishwa ulipata kadi kwenye kombe la Capital one unaweza ukaitumia kwenye ligi Kuu au FA cup . 
TFF WANARUHUSU HII? 

majibu 
1-Kama Ndio 
Simba Sc inatakiwa kukatwa Ilitakiwa kukatwa point kwenye ligi Kuu iliyomalizika na kupewa timu ya Mwadui FC na magoli matatu 
(Ingawa mechi hii Mwadui walishida  kwa GOLI mojaa kwa bila )
2-Kama Hapana 
Simba wanatakiwa kunyang'anywe ushidi wao wa Jumamosi na kupewa Polisi Dar na kuendelea na hatua ya 16 bora .

Maswali mengine ya kujiuliza 
1-Je polisi Dar imekata rufaa kuhusu kuchezeshwa kwa Lufunga? He sheria zinasemaje Mkataba rufaa inatakiwa kupata rufaa ndani ya masaa mangap?
2-Je Kama kanuni zitataka Simba Sc kukatwa pointi watakatwa za msimu ulioisha au msimu huu? 
3-Je Maneja Wa Simba Ally Abbas wakati unamkabidhi mafaili ya umeneja Mgossi hukumkabidhi Faili  la Lufunga? 

Ally Abbas au Mussa Mgossi
-Kama kweli uzembe huu atabebeshwa mmoja kati ya Abass au mgosii kwa uzembe kama Mgossi alipewa mafaili lazima atakuwa anajua na alipaswa amkumbushe kocha aache kumtumia Lufunga hata hivyoo mechi hyoo Mgossi alikuwa bechi 
(Mwandishi wa makala haya, Yossima Sitta Jr., ameitambulisha kama msomaji wa tovuti hii namba moja ya Kiswahili ya michezo duniani)


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2k4k46D best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA KWA HILI LA LUFUNGA HAWACHOMOKI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/01/simba-kwa-hili-la-lufunga-hawachomoki.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 11.12
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    Kiungo wa Azam FC, Mzimbabwe Never Tigere (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beki Mgahana wa Azam FC, Yakubu Mohamed kwenye mazoezi ya tim...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Withdrawal Options - Cash Send to Cellphone
    Withdrawal Options - Cash Send to Cellphone
    Did you know besides EFT, Hollywoodbets offers you four different "Cash Send to Cellphone" options for withdrawing from your Holl...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    TIMU ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa imeendelea kudhihirisha umwamba wake kwa wapinzani wake wa Ulaya baada ya usiku wa Jumatano kufan...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    HOW TO REFER A FRIEND TO HOLLYWOODBETS Get R50 FREE when you Refer A Friend to Hollywoodbets.mobi! Learn how to participate in this promo...
Copyright Viral Sports: SIMBA KWA HILI LA LUFUNGA HAWACHOMOKI