Na Clement Shari, ARUSHA
TIMU ya JKT Oljoro ya mjini Arusha imejiweka katika mazingira mazuri ya kurejea Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara msimu ujao mara baada ya ushindi wa 1-0 jioni ya leo dhidi ya Cosmopolitan ya Dar es Salaam Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Asante nyingi kwa mfungaji wa bao hilo la JKT Oljoro, beki Yussuph Machogote aliyefunga dakika ya 15 kwa kichwa kufuatia kona iliyopigwa na Nahodha Salehe Hussein.
Kwa ushindi huo, JKT Oljoro wanafikishaa pointi saba baada ya kucheza michezo minne, wakishinda miwili, kutoka sare mmoja na kupoteza mchezo mmoja.
JKT Oljoro ilimaliza pungufu mchezo huo, baada ya refa Meshack Suda kutoka Singida kumtoa kwa kadi nyekundu beki Omary Mamba dakika ya 73 kwa kumchezea rafu mshambuliaji wa Cosmo, Salum Hami.
JKT Oljoro imejiweka katika mazingira mazuri ya kurejea Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara
Kocha wa Cosmo, Salum Kulambatalu alisema kushindwa kwa vijana wake kumetokana na maamuzi mabovu ya marefa na pia wachezaji wa JKT Oljoro walikuwa wanajiangusha mara kwa mara kiasi cha kuharibu ladha ya mchezo.
Kwa upande wake, kocha wa Oljoro, Emanuel Masawe aliwapongeza vijana wake kwa ushindi walioupata na kwamba hivi sasa wanaelekeza nguvu zao katika michezo miwili iliyobakia.
Michezo maalum ya kuwania kufuzu Ligi Daraja la Kwanza inashirikisha jumla ya timu nne
zilizoongoza katika hatua ya makundi ya Ligi Daraja la Pili Tanzania Bara na mbali na JKT Oljoro na Cosmo, timu nyingine mbili ni Mawenzi ya Morogoro na Transit ya Shinyanga.
Timu tatu zitakazofanya vizuri zitapanda Daraja la Kwanza msimu ujao, wakati timu moja itarejea Daraja la Pili.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2nt9N5r
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms