KOCHA wa Uganda, Milutin Sredojevic 'Micho' ameita wachezaji wa 18 watakaosafiri kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya wenyeji, Kenya Uwanja wa Kenyatta mjini Machakos Alhamisi ndani yake akimrejesha mshambuliaji wa zamani wa Simba na Yanga, Emmanuel Okwi.
Wachezaji hao waliolala kwenye hoteli ya Sky Hotel, Nalya wanatarajiwa kuondoka Kampala, leo kwenda Nairobi.
Wachezaji wanaocheza nje wataungana na timu mjini Nairobi.
Okwi alitemwa kikosi cha The Cranes wakati anacheza SonderjyskE Fodbold ya Ligi Kuu ya Denmark kutokana na kushuka kwa kiwango chake kwa sababu za kutopata nafasi za kuchezeshwa.
Lakini baada ya kurejea nyumbani kujiunga na SC Villa ya kwao, Okwi ameimarika tena na kurejeshwa kikosini na kocha Micho.
Kikosi kamili cha The Cranes kinachotarajiwa kuondoka leo Uwanjanwa Ndege wa Entebbe kinaundwa na makipa;Benjamin Ochan (KCCA), Isma Watenga (Vipers)
Mabeki: Nico Wakiro Wadad (Vipers), Timothy Denis Awanyi (KCCA), Habib Kavuma (KCCA), Murushid Juuko (Simba, Tanzania), Shafiq Batambuze (Tusker, Kenya), Godfrey Walusimbi (Gor Mahia, Kenya)
Viungo: Hassan Wasswa Mawanda (Nijmeh, Lebanon), Kirizestom Ntambi (Jimma Aba Buna), Yassar Mugerwa (Saint George, Ethiopia), Moses Waiswa (Vipers), Muzamil Mutyaba (KCCA), Joseph Ochaya (KCCA), Brian Majwega (KCCA)
Na washambuliaji ni Geofrey Sserunkuma (KCCA), Emmanuel Okwi Arnold (SC Villa) na Milton Karisa (Vipers).
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2n2TaL9
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang OKWI AREJESHWA TIMU YA TAIFA UGANDA BAADA YA KUNG'ARA VILLA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/03/okwi-arejeshwa-timu-ya-taifa-uganda.html. Terimakasih atas perhatiannya.