Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
KIUNGO Mtanzania, Himid Mao Mkami leo amejumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji wa akiba na timu ya Randers FC ya Denmark na kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Horsens.
Kiungo huyo wa Azam FC ya Dar es Salaam ambaye yupo Denmark kwa majaribio ya kujiunga na timu hiyo ya Ligi Kuu, amecheza kwa dakika zote 90 na kwa bahati mbaya wachezaji wa akiba wa Randers FC wakafungwa 2-0.
Akizungumza na Bin Zubeiry Sports – Online leo kwa simu kutoka Denmark, Himid amesema kwamba ulikuwa mchezo mgumu, lakini upande wake anamshukuru Mungu amecheza vizuri.
Himid Mao (kulia) akiwa mazoezini na timu ya Randers FC ya Denmark ambajo yupo kwa majaribio
“Unajua kufungwa haimaanishi mmecheza vibaya, wakati mwingine mnaweza kucheza vizuri kuliko waliowafunga, sema basi tu mambo ya mpira,”amesema Himid, mtoto wa kiungo wa zamani wa Pamba, Mao Mkami ‘Ball Dancer’.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Tanzania amesema baada ya kufanya mazoezi na timu hiyo kwa takriban siku tatu na leo kucheza mechi ya kwanza – kesho anatarajiwa kupewa ratiba mpya.
Himid amesema anaamini baada ya kucheza Tanzania kwa muda mrefu, sasa ni wakati mwafaka kwake kutoka nje.
“Ni kweli nina nia sana ya kutoka nje kwa sasa, naamini ni wakati mwafaka kwangu kupata changamoto mpya katika maisha yangu ya soka,”amesema Nahodha huyo Msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2qoA8Un
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang HIMID MAO AGONGA DAKIKA 90 DENMARK TIMU YAKE YAPIGWA 2-0. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/05/himid-mao-agonga-dakika-90-denmark-timu.html. Terimakasih atas perhatiannya.