Mkufunzi wa kimataifa, Henry Tandau (kulia) akitoa somo kwa wana kozi ya uongozi wa soka iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambayo imeanza leo kwenye moja ya kumbi za Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Azam, Philipo Alando na Mhasibu wa Bakhresa Group Limited, Abdulkarim Amin 'Popat' ambaye tayari amepitia mafunzo mbalimbali ya ukocha na uongozi ngazi za awali
Tandau akitoa somo kwa nadharia na vitendo. Kutoka kushoto ni Omar Kaaya, Meneja Masoko wa Yanga, Said Tuliy na Ally Suru Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba
Maofisa wa TFF, Mhasibu Danny Msangi (kushoto) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Wilfred McGustine Kidau
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba (kushoto) alikuwepo pia
Mwanamke pekee anayeshiriki kozi hiyo, Fatma Shibo wa Bodi ya Ligi
Washiriki wakimskiliza kwa makini Mkufunzi anayetambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Tandau
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2q0VLZJ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KOZI YA UONGOZI WA SOKA ILIVYOFUNGULIWA LEO TAIFA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/05/kozi-ya-uongozi-wa-soka-ilivyofunguliwa.html. Terimakasih atas perhatiannya.