TIMU ya Manchester United ipo karibu kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid, Alvaro Morata na inaweza kutoa hadi Pauni Milioni 60 kumpata mchezaji huyo.
Nyota huyo wa Hispania atawaacha mabingwa hao wa Ulaya msimu unaofuata baada ya kufikia makubaliano ya vipengele vya maslahi yake binafasi.
Jose Mourinho ameelekeza nguvu katika kumsajili namba 9 mpya huku United ikiwa haina mpango wa kumuongezea mkataba mkongwe majeruhi, Zlatan Ibrahimovic.
Na huku mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku aliyekuwa anatakiwa pia na Mourinho kuwa mbioni kurejea Chelsea kwa dau la rekodi Uingereza, Morata anabaki kuwa mtu sahihi kwenda Old Trafford.
Mshambuliaji wa Real Madrid, Alvaro Morata anatakiwa na Manchester United PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kwa muda mrefu United imeonyesha nia ya kumtaka Morata - ambaye kwa sasa yupo mapumzikoni huko Ibiza na mpenzi wake, Alice Campello - na inaweza kutoa hadi Pauni Milioni 60 kumpata mchezaji huyo.
Lukaku anaweza kuchagua kurejea Chelsea ambako klabu hiyo ya magharibi mwa London inajiandaa kuachana na mshambuliaji Diego Costa aliyetofautiana na kocha Antonio Conte.
Morata alifanya kazi chini ya Jose Mourinho baada ya kuibuka kutoka timu ya vijana ya Real Madrid. Vigogo hao wa Hispania walimsajili tena mshambuliaji huyo baada ya kumuuza Juventus.
Ibrahimovic, wakati huo huo, anaendelea na mazoezi katika viwanja vya mazoezi vya klabu, Carrington ingawa hajapata mkataba mpya.
Gwiji huyo wa Sweden aliumia mguu Aprili mwaka huu katika mechi ya Europa League dhidi ya Ajax na anatarajiwa kuwa nje Januari mwakani.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2s57oQq
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms