Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Mayanga amesema watazinduka na kufanya vizuri katika mechi zijazo za Kundi L kufuzu Fainali za kombe ka mtaifa ya Afrika mwaka 2019.
Taifa Stars ilianza vibaya mbio za Cameroon 2019 usiku wa jana, baada ya kulazimishwa sare ya nyumbani 1-1 na Mamba wa Lesotho katika mchezo wa kwanza wa Kundi L Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Na baada ya mechi katika mkutano na Waandishi wa Habari, Mayanga akalaanu kitendo cha safu yake ya ulinzi kuruhusu bao la kusawazisha la Lesotho lililofungwa Thapelo Tale dakika ya 34, kufuatia Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta kufunga la kuongoza dakika ya 27.
Kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga amesema timu itazinduka na kufanya vizuri tena
“Tumefanya makosa kuruhusu goli rahisi la Lesotho, lakini sare ya leo haitukatishi tamaa na tutaendelea na mazoezi kama kawaida kwa ajili ya mechi zilizosalia. Naamini makosa ya leo tutayafanyia kazi na tutazinduka, tutafanya vizuri,”amesema Mayanga.
Kocha huyo aliyerithi mikoba ya mzalendo mwenzake, Charles Boniface Mkwasa ameongeza kwamba Lesotho jana walikuwa wanatumia mbinu ambazo ni changamoto kwake na atazifanyia kazi.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2rdYz7E
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MAYANGA: TUTAZINDUKA NA TUTASIMAMA IMARA TENA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/06/mayanga-tutazinduka-na-tutasimama-imara.html. Terimakasih atas perhatiannya.