Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM
NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amesema kwamba udogo wa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam jana uliwakosesha ushindi dhidi ya Lesotho.
Taifa Stars usiku wa jana ililazimishwa sare ya 1-1 na Mamba wa Lesotho katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Uwanja wa Azam Complex.
Stars inayofundishwa na kocha Salum Mayanga, ilitangulia kwa bao la Samatta dakika ya 27 kwa shuti zuri la mpira wa adhabu, kabla ya Mamba kusawazisha kupitia kwa Thapelo Tale dakika ya 34.
Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta (kulia) amesema Uwanja uliwabana jana kucheza kwa uwezo wao
Samatta baada ya mechi jana akiwa na mwandishi wa habari, Saada Akida
Na baada ya mchezo, Samatta akasema; “Uwanja wa azam Complex ni mdogo sana, kitu ambacho kwa upande wetu ambao wengi tumezoea kucheza Uwanja wa mkubwa wa Taifa kimetufanya tujibane, tumeshindwa kucheza kwa uwezo wetu mechi ya leo, yaani ukipewa mpora ukigeuka, Uwanja umekwisha,”alisema.
Samatta pia akalaani staili ya ukabaji wa mabeki wa Lesotho, akisema walikuwa wanamfuata watatu kwa wakati mmoja hadi kuna wakati akajikuta anakasirika.
“Nimekasilrshwa na kitendo cha kutoka sare na Lesotho, sijafurahishwa kabisa ukiangalia tumecheza nyumbani na haikuwa akilini mwangu kama matokeo yangekuwa hivi, lakini ndio imekuwa hivi, tunawaahidi Watanzania tutafanya vizuri katika mechi zijazo,”alisema.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2rekefR
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SAMATTA ALIA NA UWANJA WA AZAM UMEWAKOSESHA USHINDI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/06/samatta-alia-na-uwanja-wa-azam.html. Terimakasih atas perhatiannya.