Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Yanga umeitisha mkutano na wafanyabiashara wote wa jezi utakaofanyika Ijumaa wiki hii makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam.
Ofisa Mawasiliano wa klabu ya Yanga, Dissmas Ten amesema katika taarifa ya leo jioni kwamba pamoja na kuitisha mkutano huo, wanapiga marufuku mara moja kwa mtu yeyote kuuza jezi yenye nembo ya klabu hiyo kuanzia kesho.
“Yanga inatoa tahadhari kwa watu wote ambao kwa namna moja au nyingine watashiriki kuuza au jezi zenye nembo ya Yanga kuanzia kesho watakamatwa na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao,”imesema taarifa hiyo.
 |
| Hizi ndizo jezi rasmi za msimu za nyumbani na ugenini za Yanga SC |
Ten amesema kwamba kikosi maalum kimeandaliwa kufanya ukaguzi na ufuatiliaji wa jambo hilo na kwamba wahujumu wote watakamatwa.
Hatua hii inamaanisha sasa Yanga wanaelekea kuanza kujiendesha kibiashara, baada ya muda mrefu wa kushindwa kutumia fursa ya rasilimali watu iliyonayo kujinufaisha kimapato.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2viH0QT
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms