• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ▼  Oktober (506)
      • YANGA YAWAFUATA SINGIDA UNITED BILA NYOTA WANNE
      • HIGUAIN AINUSURU JUVENTUS KUPIGWA URENO, SARE 1-1 ...
      • KUPATWA KWA MESSI BARCELONA IKITOA SARE 0-0 UGIRIKI
      • BEKI APIGA HAT TRICK PSG YASHINDA 5-0 PARIS
      • CHELSEA WACHEZEA 3-0 KWA ROMA ITALIA
      • BAYERN MUNICH YASHINDA UGENINI, YAILAZA CELTIC 2-1
      • MAN UNITED WAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI YA MAB...
      • NDUNDA ‘AJIACHIA’ NA NIMAA MCHUMBA WA ZAMANI WA MA...
      • Turffontein Tuesday 31 October 2017 Best Bets
      • WACHEZAJI CHELSEA WAKIZURULA MITAA YA JIJI LA ROMA
      • KANE YUKO FITI KUWAVAA REAL MADRID KESHO WEMBLEY
      • World Series: LA Dodgers v Houston Astros Game Six...
      • SINGIDA UNITED WAKATAA UNDUGU NA YANGA, WASEMA JUM...
      • India vs New Zealand: First T20 International Preview
      • 9 South Africans Named in Barbarians Squad
      • Springboks Set for European Tour
      • HUYU HAPA MFALME ANAKUJA LONDON KUWASHIKA SPURS
      • SIMBA WAMSHUTUMU REFA SASII KUWABEBA YANGA...WADAI...
      • NBA Fixtures and Results
      • UEFA Champions League Round 4 Fixtures and Standings
      • MAN UNITED WALIVYOINGIA KAMBINI JANA KUJIANDAA NA ...
      • BALE YU TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA SPURS JUMATANO ...
      • Kenilworth Tuesday 31 September 2017 Best Bets
      • PRISONS YAICHAPA RUVU SHOOTING 1-0 NA KUSOGEA ANGA...
      • MEJA MINGANGE ACHUKUA NAFASI YA IDDI CHECHE AZAM U-20
      • MBEYA CITY WATAKA KUMALIZIA HASIRA ZAO KWA SIMBA
      • MAYWEATHER SASA AJA KIVINGINE TOFAUTI NA ULIVYOMZOEA
      • BARCELONA WAIFUATA OLYMPIAKOS UGIRIKI LIGI YA MABI...
      • AMBAVYO IBRAHIM AJIB ALIWEKEWA ULINZI MKALI JUMAMOSI
      • MCHEZAJI BORA WA AZAM U-20 SEPTEMBA NI PAUL PETER
      • Flamingo Park Monday 30 October 2017 Best Bets
      • MSUVA AENDELEA KUPIKA MABAO DIFAA JADIDA YAUA 3-0 ...
      • LEICESTER CITY YAITANDIKA 2-0 EVERTON LIGI KUU ENG...
      • NEYMAR AKUTANA TENA NA MESSI NA SUAREZ, WAPIGA STORI
      • REAL MADRID WACHAPWA 2-1 NA KITIMU KIDOGO CHA KATA...
      • TANZANIA BARA YANG'ARA MBIO ZA KILOMITA 10 KMKM ZA...
      • MWANJALI MAPIGO HAYA NI SOKA TU, AU NA KARATE PIA!
      • MTIBWA YASHINDWA KUZISHUSHA SIMBA, YANGA, YALAZIMI...
      • SAMATTA AFIKISHA MECHI 69 GENK IKITOA SARE 0-0 UGE...
      • UEFA Champions League: Week Four Preview
      • NINI OKWI ALIKUWA ANALALAMIKA KWA REFA HAPA JANA?
      • WAZIRI WA ZAMANI, NAPE NNAUYE ALIKUWEPO JANA SHAMB...
      • BIN ZUBEIRY, WAMBURA NA KINGOBA ENZI ZA UJANA WAO ...
      • TFF WAMEFANIKIWA KUWAZUIA WATU KWENDA KWA WINGI UW...
      • WYDAD YALAZIMISHWA SARE NA AHLY 1-1 ALEXANDRIA FAI...
      • MTIBWA SUGAR KUREJEA KILELENI LIGI KUU LEO?
      • SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA UHURU
      • MESSI AFUNGA BAO LA 12 MECHI 10 LA LIGA BARCA YASH...
      • AZAM FC WASEMA MECHI NA MBEYA CITY ILIKUWA SHUGHUL...
      • JOSHUA AMSHINDA KWA TKO TAKAM RAUNDI YA 10 NA KUTE...
      • RAIS WA SIMBA, SALIM 'TRY AGAIN' NA MAKAMU WAKE ID...
      • HUYU DADA INGEKUWAJE LEO KAMA CHIRWA ASINGECHOMOA ...
      • ENGLAND WAIPIGA HISPANIA 5-2 NA KUTWAA KOMBE LA DU...
      • MAN CITY YACHOMOZA NA USHINDI WA 3-2 UGENINI
      • YANGA 1-1 SIMBA
      • ARSENAL YAWAZIMA SWANSEA CITY, YAWAPIGA 2-1 EMIRATES
      • LIVERPOOL YATAKATA ENGLAND, YAWAFUMUA WABABE WA MA...
      • HAZARD AIFUNGIA BAO PEKEE CHELSEA YASHINDA 1-0
      • MARTIAL AING'ARISHA MAN UNITED OLD TRAFFORD, YAIPI...
      • YANGA YAIVIMBIA SIMBA, SARE 1-1 MABAO YA KICHUYA N...
      • PEDEZYEE NDAMA MAPEMA YUKO HIVI, YANGA WATATOKA KW...
      • PILIKA ZA ZINAENDELEA NJE YA UWANJA WA UHURU
      • AZAM FC 1-0 MBEYA CITY
      • YANGA YAPANGA KIKOSI HAKINA MCHEZAJI HATA MMOJA AM...
      • Pakistan vs Sri Lanka: Third T20 Preview
      • SIMBA YAWAPANGIA YANGA ‘FOWADI YA MAANGAMIZI’...MA...
      • SHABIKI WA SIMBA ASALI ADHUHURI NDANI YA UWANJA WA...
      • Turffontein Saturday 28 October 2017 Best Bets
      • NJE YA UWANJA WA UHURU KABLA YA MTANANGE WA WATANI...
      • Kenilworth Saturday 28 September 2017 Best Bets
      • MECHI YA WATANI AMBAYO SIMBA INAPEWA NAFASI KUBWA ...
      • Aviva Premiership: Newcastle v Leicester Preview
      • BALOTELLI ATAKA KUZIPIGA NA CAVANI PSG WAKIITANDIK...
      • PATACHIMBIKA KESHO ANTHONY JOSHUA NA CARLOS TAKAM
      • AZAM FC YAPAA KILELENI LIGI, YAIPIGA 1-0 MBEYA CITY
      • F1 2017: Mexican Grand Prix Preview
      • Mitre 10 Cup: Premiership Final Preview
      • South Africa vs Bangladesh: Second T20 Internation...
      • Trick or Retreat: Terms and Conditions
      • International Rugby: Australia v Barbarians
      • SPURS KUMKOSA 'MUUWAJI' WAKE HARRY KANE MECHI NA M...
      • Lucky Numbers Draw Times & Results
      • Currie Cup Final: Sharks v Western Province Preview
      • Lotto Draw Times - Daylight Savings
      • Lotto Draw Times - Day Light Savings
      • SIMBA WAREJEA DAR KWA NDEGE MAALUM KUIVAA YANGA KESHO
      • BARUAN MUHUZA AULA TENA KAMATI YA UENDESHWAJI LIGI
      • Pro 14: Ulster v Leinster Preview
      • Greyville Friday 27 October 2017 Best Bets
      • Pakistan vs Sri Lanka: Second T20 Preview
      • India vs New Zealand: Third ODI Preview
      • HUYU TSHISHIMBI ATAFANYA MAMBO KAMA HAYA TENA NA K...
      • YANGA SC WAREJEA LEO DAR TAYARI KUIVAA SIMBA KESHO
      • MBARAKA MCHEZAJI BORA WA SEPTEMBA AZAM, KUKABIDHIW...
      • NEYMAR AZUIWA KUICHEZEA PSG DHIDI YA NICE LEO
      • VIGOGO ARSENAL, MAN UNITED NA LIVERPOOL WAKUTANA M...
      • ARSENAL NA WEST HAM, MAN UNITED NA BRISTOL ROBO FA...
      • Dolphins & Cobras draw in Oudtshoon
      • SIMBA WAKIPIGA WANAPIGA KWELI, YANGA WAMESHINDA MA...
      • Fairview Friday 27 October 2017 Best Bets
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » MECHI YA WATANI AMBAYO SIMBA INAPEWA NAFASI KUBWA YA KUIFUNGA YANGA

MECHI YA WATANI AMBAYO SIMBA INAPEWA NAFASI KUBWA YA KUIFUNGA YANGA

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
LEO ndiyo Oktoba 28 iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na sasa tunasubiri Saa 10:00 jioni iwadie ili refa Heri Sasii apulize kipyenga kuanzisha mchezo wa mahasimu wa jadi, Simba na Yanga Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Ni mwendelezo wa mbio za ubingwa wa Ligi Kuu, lakini ndani yake kuna vita ya upinzani wa jadi baina ya timu hizo, safari hii Yanga wakiingia kinyonge kuwavaa Simba watakaoibuka vifua mbele.
Simba wanajivunia hali nzuri ya kiuchumi kwa sasa, wakitoka kwenye kambi nzuri zaidi, kwanza hoteli ya Mtoni Marine, Zanzibar na baadaye Serena mjini Dar es Salaam, huku wachezaji wake wakiahidiwa zawadi nzuri mno wakishinda leo.
Yanga wameamua kushikamana pamoja na hali ngumu inayowakabili, waliweka kambi mjini Morogoro na jana wamelala hoteli ya Protea ambako watatokea kuingia Uwanja wa Uhuru jioni leo kwenda kuwaonyesha Simba wao ni mabingwa wa soka Tanzania haijalishi wapo katika hali gani.
Hii ilikuwa Agosti 23, Simba wakishinda kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 0-0 mechi ya Ngao

Kiufundi Simba wanaonekana kuwa vizuri zaidi ya Yanga msimu huu, wakiwa na kikosi kipana chenye wachezaji wa viwango vya juu karibu kila idara ukilinganisha na mahasimu wao.
Kocha Mcameroon, Joseph Marius Omog amekuwa hana shida kupanga kikosi hata inapotokea mmoja kati ya wachezaji aliokuwa anawapa nafasi amepata dharula, kwani ana wachezaji wengi wazuri.
Kutokana na beki Salim Mbonde kuwa majeruhi, katika mchezo uliopita wakishinda 4-0 dhidi ya Njombe, Omog alimpanga beki mpya aliyesajiliwa kutoka Toto Africans, Yussuf Mlipili na akacheza vizuri beki ya kati, ingawa wengi walijua angepangwa Mganda, Juuko Murshid.     
Yanga pamoja na kukabiliwa na majeruhi wengi kati ya wachezaji wake tegemeo wa kikosi cha kwanza, lakini pia wachezaji wake wapya iliyowasajili bado hawajaonyesha uwezo uliotarajiwa, ukiondoa Ibrahim Ajib, Gardiel Michael na Papy Kabamba Tshishimbi. 
Pamoja na hayo, kocha Mzambia, George Lwandamina amekuwa akitumia weledi na uzoefu wake kuhakikisha anabadilisha mifumo mara kwa mara kulingana na aina ya wachezaji anaoingia nao kwenye mchezo.
Baada ya muda mrefu wa kucheza na mshambuliaji mmoja, mechi mbili zilizopita Lwandamina ameanza kutumia washambuliaji wawili Ajib na Mzambia Obrey Chirwa aliyekosekana mechi za mwanzoni mwa msimu kutokana na kuwa majeruhi.
Na ndiyo kipindi hicho timu imevuna mabao mengi zaidi, imeshinda mabao sita kwenye mechi mbili kuelekea mchezo wa leo.
Gumzo kubwa kuelekea mchezo wa leo ni washambuliaji Emmanuel Okwi upande wa Simba, na Ajib upande wa Yanga, kutokana na hao kuwa vinara wa mabao timu zao kwa sasa.
Ajib atakuwa akicheza mechi ya pili tangu aondoke Simba kuja kwa mahasimu, baada ya Agosti 23 kuwepo kikosini Yanga ikifungwa kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 0-0 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii.
Okwi amerudi Simba Julai, lakini ni mzoefu wa mechi za watani tangu mwaka 2010 na amewahi kucheza Yanga pia kwa nusu msimu mwaka 2014.
Lakini wote Simba na Yanga wana wachezaji wengine ambao wanaweza wakaifanya siku ya leo iwe yao, mfano Shiza Kichuya, Laudit Mavugo, Haruna Niyonzima, Muzamil Yassin au yeyote upande wa Wekundu wa Msimbazi na Chirwa, Geoffrey Mwashiuya, Papy Kabamba Tshishimbi, Raphael Daudi hata Pius Buswita upande wa Yanga.
Uzoefu wa mechi kubwa hususan za watani wa jadi, safari hii upo zaidi Simba na ndio huo unawapa kiburi zaidi viongozi, wapenzi na wanachama wa klabu hiyo kuelekea mchezo wa leo. 
Lakini pia Simba haijafungwa na Yanga tangu Februari 20, mwaka 2016 ilipochapwa 2-0 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu, mabao ya Donald Ngoma dakika ya 39 na Amissi Tambwe dakika ya 72.
Baada ya hapo, mechi nne zilizofuata Wekundu wa Msimbazi walishinda tatu na kutoka sare mara moja.
Oktoba 1, mwaka walitoa sare ya 1-1, Amissi Tambwe akianza kuifungia Yanga dakika ya 26, kabla ya Shiza Kichuya kuisawazishia Simba dakika ya 87, kabla ya Januari 10, mwaka huu Wekundu wa Msimbazi kushinda tena kwa penalti 4-2 baada ya sare ya 0-0 kwenye Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar.  
Februari 26, Simba wakatoka nyuma kwa bao la penalti la Simon Msuva dakika ya tano na kushinda tena Simba 2-1 kwa mabao ya Mrundi Laudit Mavugo dakika ya 66 na Kichuya dakika ya 81, kabla ya Agosti 23, mwaka huu kushinda tena kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 0-0 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii.
Vipi leo, ni Simba tena, au Yanga atafuta unyonge? Bila shaka hilo ni jambo la kusubiri na kuona. Dakika 90 zitatoa majibu. 


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2zVWWMm best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MECHI YA WATANI AMBAYO SIMBA INAPEWA NAFASI KUBWA YA KUIFUNGA YANGA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/10/mechi-ya-watani-ambayo-simba-inapewa.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 21.47
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
Copyright Viral Sports: MECHI YA WATANI AMBAYO SIMBA INAPEWA NAFASI KUBWA YA KUIFUNGA YANGA