Na Mwandishi Wetu, JADIDA
WINGA wa kimataifa wa Tanzania jana ameendelea kuwa mpishi mzuri wa mabao kwa timu yake, Difaa Hassan El Jadida ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Moghreb Tetouan katika mchezo wa Ligi Kuu ya Morocco, maarufu kama Botola Uwanja wa Ben Ahmed El Abdi mjini El Jadida.
Mchezaji huyo wa zamani wa Yanga, Msuva, aliseti mabao ya mawili ya kwanza El Jadida, moja kila kipindi kabla ya kupumzishwa, akimpisha Hamid Ahadad dakika ya 77.
Mabao ya Difaa jana yamefungwa na Bilal El Magri mawili dakika za 45 na 79, baada ya Adnane El Ouardy kufunga la kwanza dakika ya saba.
Simon Msuva akitoa pasi kwenye mchezo wa jana
Simon Msuva (katikati) mbele katika kikosi kilichoanza cha Difaa Hassan El Jadida jana
'Muungwana' Simon Msuva akimsaidia mchezaji mwenzake aliyeumia jana
Baada ya mchezo huo, Difaa ina viporo viwili dhidi ya vigogo, FUS Rabat na Wydad Casablanca, ambayo havijapangiwa tarehe.
Kikosi cha Difaa Hassan El Jadida jana kilikuwa; Yahia El Filali, Y. Aguerdoum, M. Hadhoudi, Anouar Jayo, Fabrice Ngah, M. Bameammer, Chouaib El Maftoul/Ayoub Nanah dk70, Mario Bernad, Simon Msuva/Hamid Ahadad dk77, Bilal El Magri na Adnane El Quadry/Youness Hawassi dk70.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2xxxueP
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MSUVA AENDELEA KUPIKA MABAO DIFAA JADIDA YAUA 3-0 LIGI KUU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/10/msuva-aendelea-kupika-mabao-difaa.html. Terimakasih atas perhatiannya.