Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Azam FC imefanikiwa kumrejesha kiungo wake, Mudathir Yahya kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili kutoka Singida United.
Mudathir, kiungo Mzanzibar hodari leo amesaini mkataba huo mbele ya Makamu Mwenyekiti, Abdulkarim Amin ‘Popat’ na Meneja Philipo Alando.
Mudathir alikwenda Singida United msimu uliopita baada ya kumaliza mkataba wake Azam na baada ya kazi nzuri akiwa na timu hiyo ya Uwanja wa Namfua amerejeshwa nyumbani.
Ikumbukwe mchezaji huyo aliibuliwa katika mfumo wa soka ya vijana ya klabu hiyo, maarufu kama Azam Akademi mwaka 2013kabla ya kupandishwa kikosi cha kwanza – ingawa baadaye ushindani wa namba ukamsukumia nje.
 |
| Mudathir Yahya (kulia) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' baada ya kusaini leo |
 |
| Mudathir Yahya akisani mkataba wa kurejea Azam FC. Kushoto ni Meneja Philipo Alando |
Mudathur anakuwa mchezaji wa pili kusaini Azam FC kutoka Singida United, baada ya Mzimbabwe Tafadzwa Kutinyu na kwa ujumla ni mtu wa tatu kutoka Namfua kuhamia Chamazi, baada ya kocha Mholanzi pia, Hans van der Pluijm.
Azam pia imewasajili Mzimbabwe mwingine, Donald Ngoma kutoka Yanga SC na mzawa, mshambuliaji Ditram Nchimbi.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2HKfWjL
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms