Na Mahmoud Zubeiry, MARYLAND
MWANAMUZIKI Nassib Abdul Juma maarufu kwa jina la sanaa kama Diamond Platnumz, anatarajiwa kuwa na ziara kubwa na ndefu nchini Marekani akitumbuiza katika majimbo tofauti kati ya Juni na Julai, mwaka huu.
Ziara hiyo ya Diamond mwenye umri wa miaka 28 itajulikana kama “Diamond Platinumz A Boy From Tandale USA Tour 2018” na tayari Watanzania waishio sehemu mbalimbali Marekani wanajipanga kwa maonyesho yake kwenda kumsapoti ndugu yao.
Matangazo ya ziara za Diamond Platinumz yamekwishaanza hapa Marekani na onyesho lake la kwanza litafanyika Oakland, California Juni 22 kabla ya kwenda kutumbuza Las Angeles Juni 23, Kansas City Juni 29 na Columbus Ohio Juni 30.
Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika majimbo tofauti Marekani kati ya Juni na Julai, mwaka huu
Baba huyo wa watoto watatu, Princess Latifa, Prince Nylan aliozaa na Mganda Zari na Dylan aliyezaaa binti wa nyumbani, Hamisa Mobeto atatumbuiza pia Washington DC Julai 3, New York City Julai 4, Chicago Julai 6, Twin Cities Minnesota Julai 7, Atlanta Julai 13, Boston Julai 14, Dallas Texas Julai 20 na Houston Julai 21.
Diamond ni mwanamuziki mkubwa kwa sasa Afrika ambaye ana mashabiki sehemu mbalimbali duniani na kwa hapa Marekani anapendwa zaidi na watu wa Nigeria na Afrika Mashariki, nchi za Kenya, Uganda na Tanzania anakopotokea na maonyesho yake yanatarajiwa kuwavutia watu wa huko zaidi.
Akiwa anatamba na nyimbo zake nzuri kama Iyena Iyena aliyotoa hivi karibuni akimshirikisha motto wa nyumbani, Rayvany, African Beauty aliomba na Omarion, Mary Me alioimba na Ne-Yo wote wa Marekani, Number One aliomshirikisha msanii kutoka Nigeria, Davido na nyinginezo – Diamond anatarajiwa kukonga nyoyo za mashabiki wake wa hapa.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2M1cT9y
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms