WINGA chipukizi, Vinicius Junior alishindwa kuzuia machozi wakati anaichezea mechi ya mwishi Flamengo kabla ya kwenda kujiunga na Real Madrid majira haya ya joto.
Los Blancos inamchukua kinda huyo Mbrazil kwa Pauni Milioni ambaye alionekana akipunga mkono kuaga klabu yake ya iliyomkuza huku machozi yakimtoka katika mechi ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Parana Jumapili.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 17, atajiunga rasmi na Real atakapotimiza umri wa miaka 18 mwezi Julai na anatabiriwa kuwa mchezaji mwingine mkubwa kutokea Brazil tangu Neymar.
Vinicius Junior alishindwa kuzuia machozi wakati anaichezea mechi ya mwishi Flamengo kabla ya kwenda kujiunga na Real Madrid majira haya ya joto PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2LD7Iwj
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MCHEZAJI ABUBUJIKWA MACHOZI AKIAGA KUHAMIA REAL MADRID. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/06/mchezaji-abubujikwa-machozi-akiaga.html. Terimakasih atas perhatiannya.