Na Mwandishi Wetu, NAKURU
TIMU ya Singida United imemaliza katika nafasi ya tatu kwenye michuano ya SportPesa Super Cup baada ya ushindi wa penalty 4-1 baada ya sare ya 1-1 dhidi ya wenyeji, Kakamega Homeboyz Uwanja wa Afraha mjini Nakuru, Kenya.
Kwa mara nyingine, kipa Peter Manyika Junior ameibuka shujaa wa Singida United baada ya kuokoa penalti za Kakamega leo.
Na waliofunga penalti za Singida United ni Miraji Adam, Shafiq Batambuze, Danny Lyanga na winga Deus Kaseke aliyechaguliwa Mchezaji Bora wa Mechi, huku klabu yake ikizawadiwa kitita cha dola za Kimarekani 7, 500 na Kakamega wakipewa dola 5,000.
Kwa mara nyingine, kipa Peter Manyika Junior ameibuka shujaa wa Singida United
Bingwa wa SportPesa Super Cup atapata dola za Kimarekani 30,000 pamoja na nafasi ya kwenda kucheza na klabu ya Everton Uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool, England.
Fainali ya SportPesa Super Cup inaendelea hivi sasa Uwanja wa Afraha na mshindi wa pili atajipatia dola za Kimarekani 10,000, wakati timu nyingine zitapewa kifuta jasho cha dola 2,500.
Gor Mahia ndiye bingwa mtetezi ambaye mwaka jana iliifunga AFC Leopards 2-1 katika fainali Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kila la heri Simba SC. Tunataka kupokea Kombe Dar es Salaam kesho.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2JFoDkx
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SINGIDA UNITED YAMALIZA NAFASI YA TATU SPORTPESA SUPER CUP. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/06/singida-united-yamaliza-nafasi-ya-tatu.html. Terimakasih atas perhatiannya.