Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
LIGI Kuu ya soka ya Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kesho baada ya mapumziko ya wiki mbili kupisha mechi za kimataifa.
Kesho kutakuwa na mechi tatu, Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara Ndanda FC wataikaribisha Mbeya City ya Mbeya, Uwanja wa Mwadui Complex huko Kishapu mkoani Shinyanga, Mwadui FC wataikaribisha Ruvu Shooting ya Pwani na Azam FC watakuwa wenyeji wa African Lyon Saa 1:00 usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Jumamosi kadhalika kutakuwa na mechi tatu, Tanzania Prisons wakianza na Singida United ya Singida Saa 8:00 mchana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, Coastal Union na JKT Tanzania ya Dar es Salaam Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga na Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, Yanga SC watakuwa wenyeji wa Alliance FC ya Mwanza.
Azam FC watakuwa wenyeji wa African Lyon kesho Saa 1:00 usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
Mechi nyingine tatu zitafuatia Jumapili, mabingwa watetezi, Simba SC wakiwakaribisha Stand United Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, Lipuli FC wakiwakaribisha Kagera Sugar ya Bukoba Saa 8:00 mchana Uwanja wa Samora mjini Iringa na Mbao FC wakiwa wenyeji wa Mtibwa Sugar ya Morogoro Saa 10: 00 jioni Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza.
Hadi sasa Azam FC ndiyo inaongoza Ligi Kuu kwa pointi zake 18 za mechi nane, ikifuatiwa na Mtibwa Sugar pointi 17 mechi tisa, Yanga SC pointi 16 mechi sita, Singida United pointi 16 pia mechi tisa na mabingwa watetezi, Simba SC wenye pointi 14 za mechi saba.
Hali ni mbaya kwa Mwadui FC ambao baada ya mechi nane, wana pointi tano, nyuma ya Alliance FC pointi sita mechi tisa, sawa na African Lyon na Tanzania Prisons. Biashara United ya Mara, nayo pia ina pointi sita, lakini za mechi nane.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2CqC6Zy
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms