Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Mtibwa Sugar, Riphat Khamis amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia wawakilishi hao wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika mwakani.
Manejimenti ya timu ya Mtibwa imekuwa na utaratibu wa kuimarisha mikataba ya wachezaji kabla ya mikataba yao kufika tamati, mkataba wa Riphat Khamis na Mtibwa ulikuwa unafika tamati mwishoni mwa msimu huu na pande zote mbili zimefikia muafaka wa kuboresha mkataba wa awali.
Hivyo mkataba huu ulioboreshwa wa mshambuliaji kinda wa timu ya taifa ya vijana Ngorongoro Heroes Riphat Khamis na Mtibwa Sugar utafika tamati 2021.
Riphat Khamis aliumia enka katika mchezo wa mzunguko wa tatu wa ligi kuu bara na kumfanya kuitumikia Mtibwa katika michezo mitatu pekee hadi sasa katika msimu huu, katika michezo hiyo mitatu Riphat Khamis amefanikiwa kutoa pasi za magoli (assist) mbili.
Riphat aliumia katika mchezo namba 25 wa ligi kuu bara dhidi ya Mbeya City uliochezwa tarehe 1.09.2018 katika dimba la Manungu, Jeraha hilo la enka lilimuweka nje mshambuliaji huyo kwa siku 40 na tayari ameanza mazoezi mepesi ili kujiweka sawa.
Mtandao rasmi wa klabu www.mtibwasugar.co.tz umemtafuta Abubakar Swabr ambaye ni msimamizi wa masuala ya sheria wa klabu hiyo ili kupata machache juu ya kandarasi hiyo
“Ni kweli tumeingia kandarasi mpya ya miaka 2 na Riphat na tunataraji makubwa kutoka kwake kutokana na kipaji kikubwa alicho nacho, walimu walitueleza mipango yao juu yake hivyo tuliamua kuingia kandarasi mpya na Riphat” Abubakar Swabr.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2QYYLQr
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms