Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limempeleka Kamati ya Maadili aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati yake ya Uchaguzi, Wakili Revocatus Kuuli kwa tuhuma za kuweka hadharani nyaraka za shirikisho hilo na kuzisambaza kwa watu wasiohusika.
Katika barua aliyotumiwa Wakili huyo Oktoba 29, mwaka huuu kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, Wakili Hamidu Mbwezeleni, Kuuli anatakiwa kufika kwenye kikao hicho kesho kujieleza juu ya tuhuma zake.
Shitaka la kwanza la Kuuli ni kusambaza barua za TFF kinyume cha kufungu cha 16 (1) cha kanuni za Maadili za TFF tole la mwaka 2013 kinyume cha ibara ya 12.1 (b).
Shitaka la pili ni kutoa maelezo yanayoonyesha kuwa na mgongano wa maslahi kwa kuwapa watu wasiohusika kinume cha kifungu cha 16 (2) cha kanuni za Maadili za TFF na kosa la tatu ni kufanya vitendo vinavyoshuhsa hadhi ya shirikisho kinyume cha ibara ya 50 (1).
Na haya yote yanatokea wakati tayati TFF imefanya mabadiliko ya Kamati ya Uchaguzi, ikimuondoa Kauuli na wenzake wote na kumteua Malangwe Ally kuwa Mwenyekiti mpya.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2QlKUDO
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms