Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MECHI za kwanza za mchujo wa kuwania kupanda na kubaki Ligi Kuu ya Tanzania Bara zilizokuwa zifanyika leo Kanda ya Ziwa zimeahirishwa hadi kesho.
Mechi hizo ni baina ya Pamba SC na Kagera Sugar ya Bukoba iliyopangwa kufanyika Uwanja wa Nyamagana mjini Mwanza na Geota Gold Mine dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga Uwanja wa Nyankumbu, Geita.
Hata hivyo, Azam Media Limited walioombwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuonyeaha mechi zote nne za nyumbani na ugenini baina ya Kagera Sugar na Mwadui FC zilizoangukia kwenye Play-Off kutoka Ligi Kuu na Pamba na Geita zinazowania kupanda kutoka Daraja la Kwanza wameshindwa kufanya hivyo leo.
“Mpendwa mteja wetu, tumelazimika kuondoa magari ya matangazo katika viwanja viwili vya Geita & Nyamagana baada ya kutokea sintofahamu na vurugu juu ya urushwaji live wa mechi mbili za FDL Play-Off,” imesema taarifa ya Azam Media leo na kuongeza;
“Awali, Azam Media Ltd iliombwa na TPLB kusaidia kuonyesha live mechi hizo ili kudhibiti vitendo vya hujuma, Azam TV ilikubali ombi hilo na kufanya maandalizi yote ikiwa ni pamoja na kusafirisha magari ya matangazo mpaka viwanja husika kwa kuzingatia umuhimu wa ombi la TPLB,”.
“Msimamo wa Azam Media Ltd ni kutenda haki na usawa kwa ama kuonesha mechi zote nne au kuacha kabisa kuonesha mechi hizo.. Baada ya Azam Media Ltd kuondoa magari yetu na kuanza safari kurudi DSM, tumepokea ombi jipya toka TPLB kuwa mechi hizo hazitafanyika leo na wametuomba tubakie na kuzionesha tena hapo kesho.,”.
Azam Media Ltd imekubali ombi hilo kwa maana hiyo mchezo kati ya Pamba na Kagera utaruka Kwenye chaneli ya Azam Sports 2 hapo kesho saa 10 jioni na mchezo kati ya Geita Gold na Mwadui FC utaruka Azam Sports HD kesho saa 10 jioni,” wamesema Azam Tv.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2HRzA0H
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms