Na Mwandishi Wetu, PORT ELIZABETH
TIMU ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite imepoteza mechi ya kwanza kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Kusini mwa Afrika (COSAFA) baada ya kuchapwa 2-1 na Zambia jioni ya leo Uwanja wa Uwanja wa Gelvandale mjini Port Elizabeth, Afrika Kusini.
Katika mchezo huo wa mwisho wa Kundi B, mabao ya Zambia leo yamefungwa na Florence Kasonde dakika ya nne na Christine Kalenge dakika ya 61, wakati la Tanzania lilifungwa na Enekia Kasonga dakika ya 84.
Tanzania sasa itamenyana na Zimbabwe keshokutwa katika Nusu Fainali kuanzia Saa 5:00 asubuhi, wkaati Zambia itamenyana na wenyeji, Afrtika Kusini kuanzia Saa 9:00 Alasiri.
Pheromena Kizima wa Tanzania akijaribu kumtoka beki wa Zambia kwenye mchezo wa leo
Leo Tanzania imepoteza mechi ya kwanza baada ya mwanzo mzuri, ikishinda mechi zake zote mbili za mwanzo 2-0 dhidi ya Botswana na 8-0 dhidi ya Eswatini.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2T9XyYP
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms