Na Mwandishi Wetu, QINGDAO
BONDIA Mtanzania, Abdallah Shaaban Pazi ‘Dullah Mbabe’ jana amefanikiwa kutwaa taji la WBO Asia Pacific uzito wa Middle baada ya kumpiga kwa Knockout (KO) raundi ya tatu mwenyeji, Zulipikaer Maimaitiali ukumbi wa TSSG Center mjini Qingdao, China.
Dullah Mbabe alilianza pambano kwa kasi na kumpelekea makundi mfululizo Zulipikaer, bondia namba moja China ambaye ndiye aliyekuwa anashikilia mkanda huo, kabla ya kumkalisdha raundi ya tatu. Akizungumza baada ya pambano hilo, promota wa Dullah Mbabe, Jay Msangi amesema kwamba kijana wake ameliletea sifa taifa lake, Tanzania kwa ushindi huo.
Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ (kushoto) akimuadhibu Zulipikaer Maimaitiali jana China
“Ni heshima kubwa, wadau tujitokeze kwa wingi kwenye hafla ya kumpokea bingwa huyu siku ya Jumatatu saa tatu na nusu asubuhi pale uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Julias Nyerere,”alisema Jay Msangi.
Kwa ushindi huo, sasa Dullah Mbabe anashikilia mataji mawili makubwa, lingine la WBF Intercontinental uzito wa Super Middle baada ya kumpiga Mtanzania mwenzake, Francis Cheka kwa KO pia raundi ya sita Desemba 26 mwaka jana ukumbi wa PTA. Saba Saba mjini Dar es Salaam.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/32nRNdH
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms