Na Mwandshi Wetu, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Azam FC unayofuraha kuwataarifu kuwa umekamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa wa Zimbabwe, Never Tigere, kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Tigere aliyekuwa akichezea Platinum ya Zimbabwe, usajili wake ni pendekezo la benchi la ufundi la Azam FC, ambalo lilimfuatilia kwenye mechi kadhaa alizoichezea Platinum katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.
Nyota huyo anayemudu kucheza namba sita, nane na saba, hadi anaondoka Platinum amefanikiwa kuifungia mabao manne kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, ambayo iliingia hatua ya makundi ya michuano hiyo mwaka huu.
Mzimbabwe huyo amesaini mkataba rasmi wa kuichezea Azam FC, leo Jumatatu usiku dakika chache mara baada ya kutua nchini, zoezi lililosimamiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin 'Popat', huku wakala wake, George Deda akishuhudia.
Huo ni usajili wa pili kwa Azam FC kwenye dirisha dogo la usajili, wa kwanza akiwa ni kiungo mshambuliaji, Khleffin Hamdoun kutoka Mlandege.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2t6JFCr
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms