• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ▼  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ▼  Januari (450)
      • Sun Met 2020 - Full Results All Races - Kenilworth
      • "How To" Videos - Horse Racing
      • MTANGO AMTWANGA MTHAILAND TKO RAUNDI YA SABA MKWAK...
      • UK Racing Best Bets - Saturday 2 February 2020
      • Stand a Chance to Win 1 of 2 Double TicketPro Inte...
      • International Horse Racing Tips: Sha Tin (Turf) – ...
      • Win Your share of R500 000 in Daily Cash Prizes!
      • ARSENAL YAMSAJILI KWA MKOPO WA MIEZI SITA BEKI MRE...
      • MIGUU YA MABEKI WA SIMBA SC INAVYOWAHUKUMU MAKIPA WAO
      • WTA Tour 2020: Australian Open Final Preview
      • Horse Racing Tips: Flamingo Park Best Bets - Monda...
      • Hollywoodbets Dolphins upbeat ahead of One Day Cup...
      • Horse Racing Tips: Hollywoodbets Greyville Best Be...
      • FERNANDES ATUA MAN UNITED KWA MKATABA WA MIAKA MIT...
      • AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA MTIBWA SUGAR T...
      • Kaunda Ntunja’s Round 1 Super Rugby Predictions
      • Horse Racing Tips: Friday 31 January 2020 – Kranji...
      • Horse Racing Tips: Kenilworth - Met Day - Saturday...
      • Super Rugby 2020: Round 1 Saturday & Sunday Preview
      • Blind Cricket South Africa vs New Zealand - 2020 S...
      • UK Racing Best Bets & Tips - Friday 31 January 2020
      • Six Nations 2020: England v France Preview
      • Guinness PRO14: Cheetahs v Southern Kings Preview
      • Six Nations: Round 1 Preview
      • HSBC World Sevens Series: Sydney Preview
      • Horse Racing Tips: Turffontein Best Bets - Saturda...
      • ATP Tour 2020: Australia Open Semi-Final Preview
      • English Premier League: Gameweek 25 Preview
      • Sizzling Summer Challenge - Wednesday 29th January...
      • Horse Racing Tips: Hollywoodbets Greyville Best Be...
      • UK Racing Tips - Thursday 30 January 2020
      • Horse Racing Tips: Fairview Best Bets - Friday 31 ...
      • REAL MADRID YAICHAPA ZARAGOZA 4-0 KOMBE LA MFALME ...
      • LIVERPOOL YAICHAPA WEST HAM UNITED 2-0 NA KUZIDI K...
      • MAN UNITED PUNGUFU YAICHAPA MAN CITY 1-0, LAKINI Y...
      • SIMBA SC 3-2 NAMUNGO FC (LIGI KUU YA TANZANIA BARA)
      • KAGERE APIGA BAO LA USHINDI BADO DAKIKA MBILI SIMB...
      • BONDIA WA THAILAND AWASILI LEO DAR KUZIPIGA NA SAL...
      • MATHEO AIPIGIA BAO PEKEE POLISI YAICHAPA TANZANIA ...
      • MTENDAJI MKUU WA AZAM FC AFANYA ZIARA KLABU KADHAA...
      • KASEJA NA PAWASA WAJITOKEZA MAFUNZO YA DIPLOMA C Y...
      • UZINDUZI WA TAWI LA SIMBA SC BUNGENI MJINI DODOMA ...
      • Fourth T20I: New Zealand vs India Preview
      • Super Rugby 2020: Round 1 Friday Preview
      • PSL: Week 21 Preview
      • MCHEZAJI KUPELEKWA KWA MKOPO NI UAMUZI WA BENCHI L...
      • Spanish La Liga: Gameweek 22 Preview
      • Absa Premiership Team of the Season so far?
      • EPL: Tottenham Hotspur vs Manchester City Preview
      • NFD: Week 20 Preview
      • Hollywoodbets named as LaLiga’s Official Betting p...
      • 2020 European Tour: Saudi International Preview
      • PGA Tour: Waste Management Phoenix Open
      • Super Rugby 2020: Australian Conference Preview
      • Horse Racing Tips: Vaal Best Bets: Thursday 30 Jan...
      • SAMATTA ‘AWAKOSAKOSA’ LEICESTER CITY, ASTON VILLA ...
      • DK. MSOLLA AITISHA MKUTANO WA DHARURA WA WANACHAMA...
      • SIMBA SC YAKANA TUHUMA ZA KUTAKA KUMHONGA KIPA WA ...
      • THOMAS ULIMWENGU ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KU...
      • UK Racing Best Bets - Wednesday 29 January 2020
      • Super Rugby - New Zealand Conference Preview
      • Cardoso rules Pirates out of title race
      • MO DEWJI ALIPOMKABIDHI JEZI YA SIMBA SC RAIS WA FI...
      • KZN Women continue their solid form
      • Action-packed cricket on the menu for Hollywoodbet...
      • Registering with Hollywoodbets made easy
      • 4 South African Super Rugby Players to Watch in 2020
      • Opinion: South African cricket needs patience and ...
      • ARSENAL WASONGA MBELE KOMBE LA FA BAADA YA KUICHAP...
      • ATP Tour 2020: Australian Open Preview
      • WTA Tour 2020: Australian Open Quarterfinals Preview
      • Horse Racing Tips: Hollywoodbets Scottsville Best ...
      • TFF YAIAGIZA KAMATI YAKE YA MAADILI KUCHUNGUZA TUH...
      • YANGA SC YAIPIGA TANZANIA PRISONS 2-0 NA KUTINGA 1...
      • Grooms' Initiative Winners - 26th January 2020 - H...
      • Record-Breaking Payout for Gauteng Woman!
      • UK Racing Best Bets - Tuesday 28 January 2020
      • Horse Racing Tips: Vaal Best Bets: Tuesday 28 Janu...
      • Super Rugby 2020: South African Conference Preview
      • MECHI MBILI HAZITOSHI, TUNAHITAJI KUMPA MUDA ZAIDI...
      • YANGA SC 2-0 TANZANIA PRISONS (KOMBE LA TFF)
      • Zinnbauer: Pirates are not in the title fight yet
      • Super Rugby 2020: Outright Preview
      • Cardoso: Chiefs dream about Champions League success
      • Third T20I: New Zealand vs India Preview
      • Grooms' Initiative - Stats and Winners
      • Sizzling Summer Challenge - Sunday 26th January 2020
      • Hollywoodbets Sizzling Summer Challenge - Leaderboard
      • UK Racing Tips - Monday 27 January 2020
      • Is Liverpool’s Team One of the Greatest Ever?
      • Horse Racing Tips: Fairview Best Bets - Monday 27 ...
      • NACHO APIGA BAO PEKEE REAL MADRID YAPANDA KILELENI...
      • LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA SHREWSBURY K...
      • KOBE BRYANT NA WENGINE TISA AKIWEMO BINTI YAKE WA ...
      • JESUS APIGA MBILI MANCHESTER CITY YAICHAPA FULHAM 4-0
      • MAN UNITED YAICHAPA TRANMERE ROVERS 6-0 NA KUSONGA...
      • TYSON FURY NA WILDER WANAVYOZIDI KUTAMBIANA KUELEK...
      • International Horse Racing Tips: Sha Tin (Turf) – ...
      • NYOTA WA PILSNER WAKIFURAHIA KUICHAPA SIMBA SC 2-1...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA HASSAN ABDALLAH CHINA
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » MECHI MBILI HAZITOSHI, TUNAHITAJI KUMPA MUDA ZAIDI BEN MORRISON

MECHI MBILI HAZITOSHI, TUNAHITAJI KUMPA MUDA ZAIDI BEN MORRISON

Na Mustafa Mtupa, DAR ES SALAAM
NIKIWA mmoja ya watu walio kusanyika kwenye moja ya shughuli ambayo binafsi nilialikwa. Nilipewa kazi ya kusambaza chakula.kazi ambayo niliifanya kwa ufasihi kabisa.lakini nilipofika kwenye moja ya duara  lilioundwa na wazee waliokuwa bize huku sauti zao zikionekana kuwa zenye upole na zilizo hitaji usikivu wa hali ya juu ili kusikia kuwa walikuwa wanajadili nini.
Ilionesha wazi kuwa wote walikuwa wanaunga mkono kile ambachi kilikuwa kinaongelewa kwani hakuonekana hata mmoja kati yao akionesha Haiba ya ubishi.
Hulka yangu ya udadisi ilinifanya nilisumbue sikio langu kwa kusikiliza kwa makini sauti hizo ndogo.zilizo ashiria kubeba ujumbe mzito.

Nilimsikia mmoja ya wazee wale akisema kuwa "Morisson ndiyo mchezaji wetu bora kwa sasa,mimi naona pale tumelamba dume kabisa"
Ghafla nikashtuka na nikahisi kama presha ina nipanda baada ya kusikio maneno hayo.kumbu kumbu ikanipeleka kwa mwalimu wangu wa kidato cha tano ambaye siku moja aliwahi kuniimbia shairi la mmoja ya manguli wa utungaji wa mashairi hapa nchini Marehemu Shaban Robert aliwahi kuimba.
"Halina kificho penzi liingiapo,mwenye mapenzi haoni ingawa anayo macho."
Akilini mwangu nikagundua kuwa kinacho wasumbua wazee hawa ni Mapenzi tu.jambo ambalo linawafanya washindwe kuusemea  uhalisia.
Ni jambo la kuukosea Heshima sana mpira wa miguu kuamini kuwa Morrison ni daraja la Kanda,Chama na okwi kwa mechi mbili ambazo amecheza .
Kiuhalisia anahitaji majaribio zaidi ili kutufanya tuamini kwenye miguu yake.japokuwa kiwango alicho onesha katika mchezo wake wa kwanza na wapili. kilikuwa ni kiwango cha upekee sana japo haiwezi kutufanya wapenzi wa soka hapa nchini kwamba ameiweza ligi kuu.
Siku moja wakati napita pita kwenye moja ya Magroup ya Whatsapp nilikutana na ripoti ya skauti kutoka nchini Italia. ambayo ilivuja,ripoti hii ilikuwa inaonesha maendeleo ya mchezaji Fulani kwa muda wa karibia mwaka mmoja na mchezaji huyu sio kwamba ni chipukizi,!hapana,alikuwa ni mchezaji mwandamizi kabisa lakini skauti alihitaji zaidi ya mwaka mmoja kabla ya kujiridhisha kuwa anafaa
Kimsingi mpira una matokeo ya kikatili sana hivyo tusimtoe chambo kwani akifeli atakuwa anafeli pia kwa sababu ya kuwa tulimfanya aone ana deni kubwa la kulipa kwakuwa muliamini kuwa ndiyo mkombozi wenu.hivyo akiwa kiwanjani hatokuwa huru. zaidi atafanya vitu vingi ili kuwaaminisha kuwa yeye ni bora mwisho sehemu ya kupiga atataka apige kanzu na hapo ndipo wanayanga  wa tawi la Mbagala kiburugwa watakapo anza kumuona kama Jaja.
Baada ya shughuli hiyo kuisha nilipita kwenyee moja ya sehemu wanazouzia magazeti na kukutana na kichwa cha habari kinachosema kuwa 'Morrison asema ana kazi ngumu ya kufanya" binafsi nilipenda mapekeo ya maneno ya mashabiki kwenye mdomo wake ila shida ni kuwa je? Mapokeo hayo ya mdomoni yanafanana na kwenye ubongo? Inawezekana ubongo wake unasadiki kuwa yeye tayari ni bora lakini hulka ya Aibu ikamfanya aseme kuwa ana kazi kubwa ya kufanya.
Mimi naenda zangu kulala maana pilau limenilevya lakini bado naendelea kutafakari kuhusu huyu ' Morisson na maajabu ya miguu yake'

@Mustafa.Mtupa

0687058966


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2uAsXf3 best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MECHI MBILI HAZITOSHI, TUNAHITAJI KUMPA MUDA ZAIDI BEN MORRISON. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/01/mechi-mbili-hazitoshi-tunahitaji-kumpa.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 02.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • Vaal Thursday 29 September 2016 Best Bets
    Winning Form brings you their best tips for Vaal's racing on Thursday 29th of September 2016. Comments, images and betting and are pro...
Copyright Viral Sports: MECHI MBILI HAZITOSHI, TUNAHITAJI KUMPA MUDA ZAIDI BEN MORRISON