Na Saada Akida, DAR ES SALAAM
MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Rodgers Gumbo ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Kamati Mashindano ya klabu huyo na Makamu wake, Rodgers Gumbo.
Taarifa ya Yanga leo imetaja wateule wa kuunda Kamati mpya ya Mashindano ya klabu hiyo baada ya wiki iliyopita uongozi kutangaza kuvunja Kamati zote zilizoundwa Novemba 25, mwaka jana.
Lakini mabadiliko yamefanywa kwenye orodha ya Wajumbe tu, kwani hata Katibu wa Kamati ni yule yule, Deo Mutta na Wajumbe wote wamerudi wakiwmeo Wahandisi Hersi Said, Heriel Mhulo na Isaac Usaka na isipokuwa idadi imeongezeka kutoka 12 hadi 22 jumla.
Wajumbe wengine wa Kamati mpya ni Beda Tindwa, Thobias Lingangala, Edward Urio, Max Komba, Salum Mkemi, Yusuphed Mhandeni, Yanga Makaga, Adonis Bitegeko, Hassan Hussein, Pelegrinius Rutayuga, Lameck Nyambaya, Kawina Konde, Eugen Maro, Said Ntimizi, Majid Suleiman na Mussa Katabaro.
Hii inakuwa mara ya tatu uongozi wa Yanga chini ya Mwenyekiti wake, Dk. Mshindo Msolla unavunja Kamati ya Mashindano na kuunda upya, lakini wateule wanakuwa wale wale.
Wiki iliyopita uongozi ulitangaza kuvunja Kamati zote, lakini baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo wakichapwa 3-0 na Kagera Sugar na 1-0 na Azam FC, Kamati ya Mashindano imekuwa ya kwanza ya kurudishwa.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2NHrfzd
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms