Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TIMU ya Mbeya City imefanikiwa kufungua mlango wa hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa penalty 3-1 baada ya sare ya 1-1 na wenyeji, Polisi Tanzania jioni ya leo Uwanja wa Ushirika mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Mshambuliaji Mohamed Mkopi alianza kuifungia Polisi Tanzania dakika ya 42, kabla ya Mbeya City inayofundishwa na Amri Saidi ‘Stam’ kusawazisha kupitia kwa Rehani Kibingu dakika ya 52.
Katika mikwaju ya penalti, Sixtus Sabilo pekee aliifungia Polisi wakati Marcel Kaheza, Hassan Maulid na Shaaban Stambuli walikosa huku penalti za Mbeya City zikifungwa na Rolland Msonjo, Ibrahimu Nduguli na Rehani Kibingu.
Hatua ya 32 Bora ASFC taendelea Ijumaa kwa mechi mbili zote zikipigwa Jijini Dar es Salaam, Uwanja wa Karume Panama FC na Mtwivila City na Uwanja wa Uhuru KMC dhidi ya Pan Africans.
Jumamosi; Gwambina v Ruvu Shooting, Africans Sports v Alliance FC, Ndanda FC v Dodoma FC, Ihefu FC v Gipco FC, Mtibwa Sugar v Sahare All Stars, JKT Tanzania v Tukuyu Stars, Simba SC v Mwadui FC na Kagera Sugar dhidi ya Mighty Elephant.
Jumapili Maji Maji itamenyana na Stand United, Namungo FC na Biashara United, Yanga na Tanzania Prisons na Lipuli na Kitayosa FC, wakati Jumapili Azam FC itamenyana na Africans Lyon kukamilisha hatua hiyo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2sGNtKa
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms