Kipa Said Mohammed 'Ndunda' akipongezwa na mlinda mlango mwenzake, Abutwalib Msheri baada ya kuokoa penalti mbili na kuiwezesha Mtibwa Sugar kutinga Nusu Fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Chipukizi FC baada ya sare ya 1-1 leo Uwanja wa Gombani kisiwani Pemba kwenye mchezo wa Kund B. Chipukizi ilitangulia kwa bao la Suleiman Nassor dakika ya tano, kala ya Haroun Chanongo kuisawazishia Mtibwa Sugar dakika ya 63.
Nduda aliokoa penalti za Jumaa Kassim na Abdallah Mohamed, wakati mikwaju ya Salim Abui na Abdalla Khalisan ilimpita huku penalti za Mtibwa Sugar zilifungwa na Omar Sultan, Abdulhalim Humud, Riffat Khamis na Dickson Job.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2QTWg3o
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms