KLABU ya Manchester City imethibitisha kifo cha mama wa kocha wao mkuu, Mspaniola Pep Guardiola kwa ugonjwa wa COVID 19.
Mabingwa hao wa Ligi Kuu ya England wamethibitisha leo kwamba Dolors Sala Carrio amefariki dunia akiwa ana umri wa miaka 82 mjini Manresa, Barcelona.
Taarifa ya Man City imesema: "Familia ya Manchester City inasikitika kutangaza kifo cha mama yake Pep, Dolors Sala Carrio kilichotokea leo huko Manresa, Barcelona baada ya kusumbuliwa na virusi vya corona.
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola (kulia) akiwa na mama yake, Dolors Sala Carrio aliyefariki dunia leo kwa ugonjwa wa COVID 19 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mabingwa hao wa Ligi Kuu ya England wamethibitisha leo kwamba Dolors Sala Carrio amefariki dunia akiwa ana umri wa miaka 82 mjini Manresa, Barcelona.
Habari hizo za kusikitisha zinakuja wiki kadhaa tangu Guardiola achangie Pauni 920,000 kusaidia mapambano dhidi ya mlipuko wa virusi vya corona nchini Hispania katika mfuko wa Angel Soler Daniel Foundation.
Mfuko huo umepewa jina la Daktari wa Santpedor ambaye alifariki duna miaka ya 1970 - mji ambao ametokea Guardiola.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/39TLcuZ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms