Wadau wa michezo wa kundi la Whatsapp la Sports Vision, Bakari Malima (kulia) na Mkala Fundikira (kushoto) wakimkabidhi msaada wa jumla ya Sh. 500,000 beki wa kimataifa wa zamani wa Tanzania, Jellah Mtagwa (katikati) anayesumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi kwa muda mrefu walipomtembelea nyumbani kwake, Magomeni Kagera Jijini Dar es Salaam leo.
Wanachama wa kundi la Sports Vision walijichangisha fedha hizo kwa lengo la kumsaidia Jellah Mtagwa, ambaye kama Bakari Malima (kulia) wote ni mabeki wa kati wa zamani wa Taifa Stars, klabu za Yanga SC na Pan Africans kwa vipindi tofauti. Jellah alianzia Yanga miaka ya 1970 akamalizia Pan miaka ya 1980, wakati Malima aliibukia Pan miaka ya 1990 mwanzoni akamalizia Yanga mwishoni mwa miaka hiyo
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/39NYid0
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms